Wadada Nisikilize mimi NAWAJULISHA TU KWAMBA
..
.
Hakuna kitu mwanaume ana enjoy kama kumpa muda pia wa kufanya mambo yake na kutogeuka kero kwake!!kuna wanawake wakipenda wanageuka harmfull!!hawaelewi kabisa !!yaani wanambana mtu mpaka anashindwa kufanya hata kazi!!muda wote anataka mu flow tu kuchat!!akucall anytime..akitext na u reply anaytime!!na usipo reply moto unawaka!!..hii kitu hata mwanaume akupende vip atakuacha tu!!maana utageuka kero!!mpe nafasi ya yeye kukumiss!!!mpe nafasi ya yeye pia kufikiria kukutext na kukucall!/sasa wewe asubhi mumechat!!mchana unamtumia text kakujibu unataka muendelee kuchat saa zima...baada ya nusu saa umepiga tenaa!!, hajakaa sawa ndani ya lisaa limoja ushatum text hajajibu umemrukia hewani!!unageuka kero ndugu yangu..na akianza kupambana na hiyo kero ndio siku kila mtu ataona hayo mahusiano hayafai!!mutaachana tu!!hakuna mapenzi matamu kama ya kupeana time!!mukaomgeza na uaminifu!!unajua wanawake wengi wanafanya hivo wakiamini wanawawekea ulinzi waume zao bila kujua kuwa wanatumia hisia sana kuliko akili hatimaye mwanaume anakuona mtoto bado hujakuwa!!...muda mwimgine wanaume pia wanahitaji wale wanawake matured!!waelewa!!sio simu haijapatikana kidogo tu kesi siku nzimaa !!na wanawake wengi wasumbufu wa call za kila saa na text mfululizo wengi wanaongozwa na hofu ya kuhisi wanasalitiwa hata kama anajua kabisaa baby wake ni kweli yuko kazini!!atakupigia simu mpaka ipate motoo!!
Na bahati mbaya hakuna hata la maana unalomsumbua ukituma sms, niza maswali tu na kuanzisha kesi mbona 'unachelewa kujibu "kwani upo nani hapo' yaani kesi kesi tu na maswali kibao afu yakijibiwa yote ana malizia na kuomba pesa kha!
Umeshaona jamaa leo kakujibu vizuri huwezi tu kumwacha salama hata kama huna shida na pesa ila kwa kua akili zako zimejaa matope unadhani niombe pesa nione kama ananipeda kumbe umemkera toka kwenye sms zako huko unazidi tena kuongeza sifa mbovu.. Jifunzeni
Kama huja badilika utakukua unalalamika kila siku mahusiano yako hayadumu.
@maisha_halisitz
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: