Mabinti zangu,, sogeeni hapa Listen 👂
Mwanaume akikuchoka visingizio huwa vingi sana..mara ubusy wa kazi, mara kuchoka, mara ratiba haiko sawa sasa hivi...hata kuwa na muda na ww kabisaa....furaha yenu itakuwa inakuepo kwa maamuzi yake yeye!!mwanaume akikuchoka yuko radhi atumie muda na vicheko vyake na marafiki lakini sio na ww!!!Mwanaume anapoacha kumpenda mwanamke hupunguza sana au kuacha kabisa kumjali na kumhudumia mpenzi wake. Inakuwa ngumu kwake kukufanya ujisikie mwanamke au ujisikie maalumu kwake. Atawatendea wengine mema na kuwajali lakini si wewe. Zile bashasha na malavidavi aliyowahi kuwanayo hutoyaona..Mapenzi ya mwanaume yanapopungua au kuisha kwako utaona jinsi inavyokuwa ngumu kuwasiliana na wewe. Unapomwonyesha umuhimu au uhitaji wako wa mawasiliano yeye anaona mzigo mkubwa. Anakuwa mzito kuzungumza, mgumu kuzionyesha hisia zake kwako, mara nyingine inakuwia ngumu kugundua lini amefurahi na lini amekasirika. Zamani alikusikiliza, sikuhizi hakusikilizi tena. Zamani ulijua alipo na anachofanya sikuhizi ukiuliza unazua ugomvi.Kwa kawaida mwanaume anavyompenda mwanamke huwa na kiu ya kumfurahisha, hufanya vitu kuhakikisha mpenzi wake anatabasamu na anajisikia murua. Kila siku kiu ya mwanaume ni kuona mwanamke anatamani kuendelea kuwa ndani ya penzi hilo. Mapenzi yakiisha vitu hivi vyote vinapeperukia mbali..atakuwa na hasira na www...atakufokea bila sababu....yaani mwanaume akikuchoka yale maneno makali ambayo hujawahi kiyasikia ndio yatakuwa updated....kiufupi hata call zako zitakuwa zinamkera tu!!!!ndio maana unaweza kupiga call nyingi zisipokelewe..akipokea hata hiyo moja ataongea kibabe tu na hata kupa ushirikiano..ukiona hivyo wala usinitafute madam ujue tu ni muda wa kumove on....ukinitafuta mimi ntakupa mbinu za kumsahua tu ila usije kwangu eti nisaidie anipende /huyo hawez kukupenda maana kila kitu chako kwa sasa ni kero kwake...ana chuki kubwa ya kihisia na ww Mapenzi ya mwanaume yanapokwisha kwa mpenzi wake anakosa kabisa kuwa na muda naye. Siyo kwa sms call au outing
Kila kitu hakuna
Nimemaliza
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: