PENZI LA JIRANI - sehemu ya kwanza

Image may contain: 1 person, text
PENZI LA JIRANI
sehemu ya kwanza
STORY by PONELA
🤷‍♂Deo ni kijana mcheshi saana katika mtaa anaoishi,wadada walimpenda sana kwa ucheshi wake.
Wake za watu walimmezea mate kwa uzuri wake, alikua na body nzuri sana ambayo iliwatamanisha wasichana wengi wa mtaani.
Wakaka wengi walimkasilikia pindi deo anapo ongea na wapenzi wao lakini deo hakuwa kama wanavyo fikiria,
👱🏻‍♀aisha alikua msichana mzuri mwenye kila kitu katika mwili wake alifanya njia nyingi bila ya mafanikio ili apate penzi la deo walibaki tu kuwa marafiki wa kawaida
Aisha alihisi labda deo ana matatizo katika sehemu zake za siri, alihisi jongoo apandi mtungo!
Kwanini mwanaume huyu kila mtego ninao mpa anautoka na jinsi nilivyo nikimtega mwanaume anaingia mtegoni mwenyewe alijisemea aisha huku akiwaza jambo kichwani mwake,
Aisha alimualika deo kwenye barthday part yake ambayo alimualika awe kama patna wake siku hiyo,
Deo alimsikiliza rafiki yake na kumuhaidi hato muangusha kwenye siku hiyo ya kuzaliwa kwake.
Sawa usijari aisha nitakuja tu alisema deo)
Aisha alijibu deo na kumwambia " nakutegeme basi jamani my huku akimkumbatia.
Siku ilipofika deo alijiandaa kwa ajiri ya sherehe ya rafiki yake aisha alipendeza sana deo kila nguo iliyo ijaribu ilimoendeza kwa umbo lake
Aisha alimsubilia sana deo bila ya mafanikio yoyote
Jamani mbona deo ananiangusha shuhuri inataka kuanza (akiangalia mlango wa ukumbi)
Deo alifika na kukuta watu wanajiandaa kwa ajiri ya kuanza shuhuri" samahani kwa kuchelewa aisha! Aaaah" Usijari my wadada wengi walimtazama deo na kuanza kumsifia mmh!! mkaka amependeza walinong'onezana wanadada waliokua katika meza ya mbele kabisa walioalikwa kwenye sherehe ya Aisha,
SHUHURI ILIFANYIKA ILIKUA KUBWA NA WATU WALIKUNYWA SANA POMBE
Muda ulienda sana ilikua ni saa sita usiku watu walicheza muziki na kunywa
Aisha alikua akicheza na rafiki yake deo Aisha aliyumbayumba na kuanza kumkanyaga deo pindi walipokua wanacheza" deo alitabasamu sana juu ya uchezaji wa aisha "
jamani deo nipeleke chumbani nikalale huku akimlalia kifuani
Deo alimshika mkono na kuanza kumpeleka Aisha akapumzike kwenye chumba alicho kodi
aaaah!" Deo nimelewa sana unajua mimi nimechoka nibebe basi jamani my ?
Deo alimjibu wewe mzito sana aisha siwezi kukubeba
Deo alimpeleka chumbani, na kumuacha ili aweze kulala
Aisha alimuomba deo amtoe nguo aliyokua ameivaa aaah! Usiniache hivi bwana nitoe hii nguo yangu deo imejaa pombe sana siwezi kulalanayo!
Deo alimvua na kumbakiza na bikini haya lala basi mimi naenda usiku mwema,
Aisha alimvuta deo kitandani na kuanza kumcheka
😃😃hahahaha mimi sijalewa bwana njoo tulale wote leo
Aisha alimtupa deo kitandani na kuanza kukumbatia
ITAENDELEA
USISAHAU KUSHEA PAGE YANGU🙏🏽

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.