KIZA CHA BAFU NO_1

Image may contain: one or more people
KIZA CHA BAFU
NO_1
Poh ni kijana mmoja aliyezaliwa katika kijiji kimoja kiitwacho kibondo,
Poh, alitamani sana kwenda mjini kutafuta kazi ili atoke kimaisha. Hiyo ndio ilikua ndoto yake
Aliwasiliana na rafiki yake aitwaye daudi amfanyie mpango wa kazi huko mjini daudi alifanya kila njia ili rafiki yake apate kazi mjini,
Daudi yeye alikua dereva wa mabasi ya mikoani alikua na nyumba kubwa,na mke mzuri wakiarabu ila hawakuwahi kupata mtoto
POH ANAKWENDA MJINI KWA RAFIKI YAKE KUMTEMBELE
Poh' alipokelewa na rafiki yake kisha na kumpeleka nyumbni kwake karibu nyumbani ndugu yangu poh, asante kaka nashukuru huku akiitazama nyumba ya rafiki yake
Duh!! Amakweli mjini kuzuri na kwenye maendeleo mengi sana ' ndio poh ila unatakiwa ukazane sana sio kilele mama kama unavyofikilia tena shemeji yako ametoka kidogo ila chakula amesha kiandaa ngoja nikuandalie maana safari ya ndefu sana
Sawa ila mbona hujawahi kumleta shemeji tulikua tunaongea kwenye simu tu?
Usiwe na wasiwasi utamuona tu muda sio mlefu sawa kaka wakiwa wanakula,
Mbona umeacha geti wazi mume wangu (ilisikika sauti nje)
Ooh! Nilisahau mke wangu (anaingia ndani) eeeh kuna mgeni kumbe mume wangu (alisema $alha)
Ndio huyu ndio poh uliyekua unawasiliananae kule kijijini kwetu hahahahaha mambo poh jamani
Safi shemeji zuri zuri za siku ( poh akimtazama vizuri $alha alivyo umbika)
Nzuri karibu kwetu! Asante shemeji yangu wanatambuana
Sasa mimi gari langu lina safiri saa kumi na moja jioni inabidi niwaache tutaonana kesho kutwa ndugu yangu mke wangu nakuacha na mdogo wangu kama kutakua na shida yoyote mtanitaarufu haya sawa mume wangu
Daudi anaondoka na kuelekea kwenye gari yake ndogo sasa poh shika hii pesa itakusaidia kuweka vocha simu yako anamuachia elfu 30,000 asante kaka nashukuru nikutakie safari njema
USIKU UNAINGIA
Shemeji naenda kuoga mara moja nikitoka nitakuandalia chakula ule! Sawa shem alijibu poh ( akivaa taulo fupi)
Wao kweli $alha aliumbika mtoto mweupe
$alha alipokua anaoga alianza kuweka matamanio kwa shemeji yako na wala hakuwaza kuwa ndio siku yake ya kwanza kuonana alitafuta njia rahisi ya kumteka shemeji yake
$alha Alianza kupiga kelele za woga bafuni Shemejii nakufa njoo uniokoe shemeji!!!
Poh kwa hofu kubwa aliingiwa na woga akaanza kuelekea bafuni unanini? Shemeji huku moyo ukimuenda mbio na kuanza kushika kitasa
ITAENDELEA
SHARE NA LIKE PAGE

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.