TOP 10 YA MAKABILA YENYE WANAWAKE WAREMBO ZAIDI TANZANIA

Hebu Leo tupate new update za kumi bora ya makabila yenye wanawake wazuri tanzania.

1. Wahiraki, hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho.

2. Warangi, hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa

3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu

4. wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha

5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba.

6. wanyaturu, hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia

7. Wapare, hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri.

8 .wamakonde, hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kabila lenye wanawake wazuri Sana hususani maumbo Yao na shape za kuvutia

9. Wasambaa, Kwanza weupe wanawake kitanga wamezagaa Sana tanga mjini

10. wanyakyusa moja kwa moja twende mbeya hawa wanawake wengi wao ni weusi lakini sura zao nzuri Sana black beauty

Nb: Mliooa kazi kwenu sijuhi uko namba ngapi hapo mchana mwema



(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.