JE UNASUMBULIWA NA STRESS , FANYA HAYA HARAKA YATAKUSAIDIA KUONDOKANA NA STRESS.

Photo by Maisha Halisi on July 19, 2020. Image may contain: one or more people, people sitting, bedroom and indoor

Una stress
Fanya haya kwa haraka haraka
.. Vaa trak ya mazoezi kimbia umbali
.. Wakati unakimbia imba wimbo wowoe
... Au ingia sehemu gmy lipia utakuna na wadada au wanaume wanafanya mazoezi waulize hivi vifaa mnatumiaje utapenda namna wanavyofanya
.. Au nenda kwenye uwanja wa mpira kaa pale utaona watu mbali mbali kila mmoja anafanya mazoezi yake ubongo utafarijika
.. Au nenda game play station utaona watu wanacheza game mbali mbali kua ndugu mtazamaji
Au nenda sokoni kwenye soko kubwa katembee huko utaona heka heka za watu walivyo busy na maisha na yale ma kelele mara
Viatu miatano miatano maraa chukua dawa ya kunguni hapa mara pata mayai ya moto moto mara chupichupi yaani hizo kelele ni dawa kabisa
.. Au ingia kanisani kaangalie mazoezi ya wanakwaya wanavyocheza
.. Au tafuta kwenye kijiwe wanapopatikana watu wabishi kabisa wanaopenda kubishana kwa kelele kama wanalipwa katumie ubishani wao kupoteza mawazo .. Ila usiache kukimbia ili uchoke na upumue haraka haraka
.. Umenielewa?

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.