UKIPENDWA PENDEKA

UTAMU KITANDANI APP

Unapendwa Pendeka..
Hakuna kitu kigumu kama kupendwa wengi wapo kwa ajili ya vitu na wala siyo kuhitaji kufanya maisha na wewe kuunda familia yenye upendo na kufikilia ku move on kimaendeleo
.
Wengi mmekua mkiwapoteza watu sahihi kwenu kwa kushindwa kuiona dhamana ya upendo na mapenzi yadhati mlivyokabidhiwa ndani ya mioyo yao
.
Badala yake mmeitumia nafasi ile kuwatesa na kuwanyanyasa kiroho kisa mmejua ukweli kwamba mnapendwa na hakuna zaidi ya wewe ndani ya moyo wake..
.
Sasa imekua njia ya kujivunufaisha tu kila wakati kujinunisha tu kila wakati kuomba vitu vya gharama na kueapelekesha wenzenu kwa kujua lazima atatimiza kisa anakupenda na hataki kukupoteza.
.
Umesahau kua mwenye mapenzi ya dhati ni kawaida kabisa na inamupasa akupende ili ufurahie kupendwa huko na ujiongeze kua huna haja ya kuhangaika na manyau mengine ambayo yangekudangaya na kukuumiza lakini wewe umeichukulia like a point of weakness kumusumbua mtoto wa watu kumuchuna na ku mudrive kana kwamba hana moyo wala hauminii
.
Unataka upendweje ili ujue kwamba huyo ni mtu sahihi kwako.. Ubebwe mgongoni utembezwe toka masaki mpaka ukonga au unataka akuogeshe kwa kukulamba mwili mzima?
Kwa nini hupendeki.. Ona ulivyo mupoteza huyo wa kwanza kwa kujikuta tu huelewi kua unapendwa na yupo tiari kufanya maisha na wewe..
Sasa hivi napo Mungu amekupa mwingine ni yale yale umeanza hivi unadhani uzuri wako huo utadumu milele bila kua na mmoja wa kukutunza na kukupa amani...
Hivi unadhani shilingi zako hizo utakua nazo siku zote mpaka uhisi ndio zinapelekewa upendwe?
.
Hivi uoni kinyaa cha kubadilisha midomo ya deda kama milija ya juice thamani yako iko wapi kama hujaamua kubaki ja mmoja anayekupenda mpaka na wewe unajua..
Usiichezee nafsi hiyo ambayo leo imekupa dhamana ya kukupenda na upo peke yako moyoni mwako
Fikiria mapungufu yake yanarekebishika na yaisha tu na kwa sababu anakupenda yupo tiari kukusikiliza na kufuata unachotaka
Lizika na ipokee furaha ya mwenzako ya kua na wewe na pendeka
#MadamKasema
@maisha_halisitz

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.