FANYA UCHAGUZI SAHIHI Usiponzwe na macho
Pale unapo taka MTU WA kuishi nae ili baadae usije lalamika. Mpenz unae kuwa nae sababu ya kujistarehesha kingono au kutaka pesa zakee ni tofauti na yule ambae utahitaj kuishi nae na kuzaa nae
Unapo fikiria MWANAMKE au MWANA MME WA kuishi nae ni vyema ukajiridhisha na tabia na matendo yakee kabla ya kufikiria uzuri wake na pesa zake. Wapo walio vutiwa na uzur WA MTU au Mali zake ila leo hii wana machozi yasiyo kauka..
Fikiria MTU ambae anaweza kuwa MAMA au BABA bora. Usitake tu sifa kuwa mke wako Mrembo au mumeo Handsome wakat mambo yake yanaumiza mpaka unawaza uachane nae.
Fuata moyo wako na so tamaa ya macho. Wazur na HB wapo weng wanazid kukua huwez wamaliza. Ila wenye sifa kuitwa mkee au mume wanahesabika. Ukimpata basi mheshimu na mthamin
Ukubwa wa MAKALIO ya mwanamke sio ubora wa tabia zake. Anaweza kuvutia kwa makalio makubwa lakin akashindwa kuwajibika kama mama kwa watoto au mke
Wingi wa pesa na Mali za mwanaume sio wingi wa upendo. Kama alikupata kwa nguvu ya pesa ndivyo atakavyo wapata wengine kwa pesa maana wenye tamaa na wavivu ndio munao vutwa na pesa kuliko upendo
Ukikosea kuchagua mume au mke utaishi maisha ya upweke milele
Vunja sasa uchumba au mahusiano yasiyo na faida yenye maumivu kuliko baadae ukawa unahangaika kuvunja Ndoa
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: