TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI* SIO UNAJITANDIKIA TU SHUKA HUJUI MAANA ZAKE

UTAMU KITANDANI APP

TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI* TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI*
🏘 KWAMWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI....,SI WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA........TUANGALIE ZILE SHUKA ZENYE MAANA KUNA ZENYE MAANA NA NYINGINE NI SHUKA TU KAMA PAMBO HAZINA MAANA YOYOTE
TUANZE NA SHUKA NYEUPE,au la cream
Shuka hili maana yake ni kwamba Mumewangu Leo nimejiandaa vya kutosha.......nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako......yaani ukiweka hili haswa hii siku ya shughuli uwanjani
Shuka jekundu............Mumewangu Niko Tayari kukupa mambo..........but tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si shwari Leo......Niko kwenye siku za hatari......ukikosea tu utanipa ujauzito ilhali hatujajiandaa kupata mtoto kwasasa......shuka hili tumia siku za hatari
Shuka jeusi au la rangi udongo..
.Mumewangu Leo lisijikii kabisa........tulale tu nimechoka sana Leo tusifanye kabisa
Shuka la Kijani......blue bahari.....au green apple'au blue
Mumewangu Niko radhi najisikia hamu Leo tujiachie baby Tena Niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito......baby Leo mechi ieleweke kwani tukicheza vizuri Leo ntapata ujauzito
Shuka la pink au orange
Baby sijisikiii,naumwa Leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi .....tukumbatiane tu
Shuka la njano
Baby umenikosea........Nina hasira Leo sikosawa........nitake radhi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu
Shuka la zambarau
Baby naomba unisamehe najuta kwakosa nlilokufanyia.....
Shuka la mchanganyiko wa ranginyingi yaani rangizaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja
Baby Leo naomba tufanyiane USAFi.......hapo ni siku unayoona kichaka chahitaji jambia antizangu cjui tumeelewana.....
Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa
KUMBUKA
Si shukazote zina maana.....waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwawadada waliofundwa,ni vema kufanya mamboyao tofauti na wasungo,pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka Fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na utekelezaji tu wa kile shuka inachosema
Haya Kazi kwenu Madada
💝💝💝💋💋
SS NASEMA HVII
NASEMA KWAMBA
TANDIKA LILE LA BLUE habari kesho jeupe


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.