KAULI 5 ZINAZOMCHOTA MWANAMKE WAKATI WA KUPEANA UTAMU KITANDANI

UTAMU KITANDANI APP

Tendo la ndoa ni kipengele muhimu sana kati ya wanandoa ambapo hutoa fursa ya kuonesha hisia zao za ndani na kuimarisha uhusiano wao. Lakini, ili kuuchangamsha uhusiano huu na kuepuka mazoea na uchoshi, mwanamke anapenda mumewe amnong’oneze baadhi ya maneno sikioni mwake. Maneno hayo yawe yanatoka kwenye sakafu ya moyo wa mume:

1. LIPS ZAKO ZITAICHOMOA ROHO YANGU:
Busu ni ufunguo wa tendo la ndoa. Mwanamke anapenda kusikia sifa za midomo yake kwamba ni nzuri, ni tamu. Jambo hilo humfanya ahamasike zaidi na tendo na kusababisha mtikisiko moyoni mwake unaomfanya ajisalimishe kwako, ausalimishe mwili wake kwako, ajitoe sadaka kwako. Yaani, ni kama anakwambia: “Nichukue, nifanye upendavyo, mimi ni halali yako.”

2. HARUFU YAKO MARIDHAWA SANA
Kwa kawaida sifa humpeleka mwanamke mbali sana, hasa mwanaume akimwambia kuwa harufu yake ni maridhawa, inamshawishi na kumnyegesha. Kwa sababu mwanamke anapenda harufu yake iuchanganye ubongo wa mwanaume.

WANISISIMUA
Mwanamke anapenda kupambwa sana, hasa akihisi kuwa mumewe anamthamini, jambo ambalo linamfanya ajihisi amani na kuzidisha hali ya kujiamini. Mueleze jinsi unavyoishiwa pumzi kwa umbile lake… mwambie unavyokosa usingizi ukifikiria macho yake… mwambie unavyokosa amani ukiwaza kiuno chake… mwambie… mwambie… tema nyongo… tema… tema hasaa.
4. NGOZI YAKO MARIDHAWA TENA NYOROOOOOLO
Mume anapoanza kumchezea mkewe na kuigusa ngozi yake wakati wa tendo, hisia hii inaweza ikawa ndio hisia bora kabisa ulimwenguni, lakini ni muhimu mke asikie ukiipamba ngozi yake. Fanya hivyo ili kumhamisha kwenda kwenye hatua nyingine ya kumsisimua.
Pindi unapokishika kiuno chake, mwaga maneno yenye ladha za umajnun kuisifia na kuipamba ngozi na mwili wake kwa umaridadi na uzuri. Naam, ni mkeo… mfanye apae kimawazo kutokana na lugha yako tamu iliyobeba lahani za mawaridi ya moyo. Naam, ngozi nyororo na laini kama hariri.


{WAKUBWA TU 18+} BONYEZA HAPA KUPAKUA APP MPYA YA UTAMU KITANDANI ILIYOBORESHWA ZAIDI
5. NANI KAMA WEWE BIBIE?
Mawasiliano ya hisia, kauli na tendo ndio ufunguo wa mafanikio wakati wa tendo la ndoa. Mwanamke anapenda kuhisi kuwa yeye ni wa kipekee, hana mfano. Mtazame machoni, kisha umweleze namna ulivyofika mwisho wa reli. Naam, msifu, sio kwa uzuri wa mwili tu, bali hata sifa za moyo wake, ujasiri, werevu na umakini.

Muoneshe kuwa yeye ni kila kitu kwako, kwamba huna kitu ila yeye. Kwamba yeye ndio milki yako, na wewe ndio milki yake. Muoneshe namna ulivyomkabidhi kiti cha enzi katika moyo wako.
Nawatakia utekelezaji mwema
NILICHINACHO NITA WAPATIA


{WAKUBWA TU 18+} BONYEZA HAPA KUPAKUA APP MPYA YA UTAMU KITANDANI ILIYOBORESHWA ZAIDI


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.