🎀NJIA MBALIMBALI ZA KUONDOA MADOA NA CHUNUSI USONI🎀


🎀Juisi ya limao na liwa
Chukua juisi ya limao kiasi changanya na liwa kisha paka eneo lililoathirika, kaa kwa muda wa dakika tano utaona matokeo.
🎀Juisi ya limao na unga wa mdalasini pia ni tiba nzuri ya kusafisha uso kuondokana na madoa yote na chunusi zote.
🎀Asali na mdalasini
Chukua vijiko vitatu vya asali na kimoja cha mdalasini changanya kisha paka usoni pia ni tiba nzuri inasaidia kwa kiasi kikubwa.
🎀Apple na asali
Chukua apple liponde changanya na asali kiasi, kisha paka usoni mbali na kutibu madoa pia inatibu chunusi.
🎀Maji ya kitunguu swaumu
chukua maji ya kitunguu swaumu paka kwenye madoa yote utaona matokeo.ponda ponda kitunguu swaumu kisha loweka kwa muda wa nusu saa tumia yale maji
🎀Nyanya
chukua kipande cha nyanya paka usoni kisha kaa kwa muda wa saa moja nayo ni tiba nzuri.
🎀Tango
Tango pia ni tiba, chukua kipande sugua uso wako kila siku asubuhi utaona matokeo.
🎀Papai
Chukua papai liponde kisha paka usoni litakusaidia kuondoa tatizo la madoa yote usoni.
Ukitumia usisahau kureta mrejesho kwa msaada zaidi nitafute ili uelekezwe vzr
🎀🎀🎀🎀🎀🎀NI KUPENDEZA TU HADI KIELEWEKE🌹🌹🌹🌹
UTAMU KITANDANI APP


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.