WALE WATU WANAOBADILI TABIA ZAO KWA AJILI YA WAPENDAO HUWA NA MAPENZI YA DHATI
Wapo watu ambao wamejitoa sababu ya penzi na kuamua kuacha matendo yote mabaya ili kuwafurahisha wenza wao,,,,,ila watu hawa mara nyingi wamekuwa wakiambulia mateso na maumivu makali toka kwa wenza wao,,,,huonekana ni wadhaifu kwa kukubali kubadilika na kama haitoshi muda mwingine huwa wanasimangwa na kuonekana wanaigiza mabadiliko,,,,lakini niamini mimi watu wa aina hii wanaobadili tabia zao kwa akili ya wapendao huwa na upendo wa dhati sana.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: