JIFUNZE KUCONTROL HASIRA ZAKO
Hasira huzaa maneno na matendo mabayaa ambayo yana uwezo wakuzaa tatizo jingine tena kubwa zaidi ya lile la mwanzo,,,katika kipindi unastahili kujicontro ni kipindi ambacho umejawa na hasira sana,,,ushauri wangu kwako kama umeona umejawa na hasira toka eneo lililotokea tukio au alipo kusababishia hasira kisha nenda tafuta eneo tulivu keti na pata glass zako tatu za maji NA sio pombe,,,,,kisha ruhusu moyo wako ulichukulie tukio zima kama sehemu ya matukio mbalimbali ambayo kila mwanadamu anayapitia,,,,,,,kisha ruhusu msamaha ndani yako ili uwe na amani.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: