HAWA NDIO BINADAMU......
1.Ukiwa single watakuuliza,,kwanini huna boyfriend au girlfriend?
2.Ukiwa na mchumba,,watahoji mmekaa sana mtaoana lini?
3.Ukioa utasikia,,mbona hamzai nyie?,,,,sisi twataka wajomba,shangazi na wajukuu,,wengine watasema hata hawaendani
4.Mkizaa watakuja na hii,,,mtoto kakua mtafutieni kaka au dada yake.
5.ukimtafuta,,utasikia,,mbona mnazaa haraka haraka hamuogopi maisha?maisha magumu siku hizi,,,,,......kuoa au kuolewa ni uamuzi na mipango ya mtu binafsi,,,,,na kuzaa ni mipango ya wahusika,,,kila mtu ana mipango na malengo yake
JALI MAMBO YAKO NA UYAFANIKISHE KWA MKONO WA MUNGU #MSIPANGIWE.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: