A WOMAN WITH CONFIDENCE (MWANAMKE MWENYE KUJIAMINI)
Mwanamke anayejiamini huonekana wa kitofauti sana kati kati ya wanawake wengi,,,silaha pekee kubwa anayopaswa kuiva mwanamke ni CONFIDENCE,,mwanaume anapoangalia sifa za nani anastahili kuwa ubavu wake,,anaangalia kwanza sifa hii,,,,,utashangaa wenzio wote wamewezaje na wewe unashindwa nini,,,,jibu ndio HILO,,,,,makalio makubwa yasikujaze ujinga,,,,inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,,anajivunia shape,,oh nimebarikiwa,,nimejazia,,nina shape ya ukwee,,wakati kichwani zero,,ana akili za moto kama uji wa ulezi,,,,
Hayo makalio zaidi ya kukalia makochi na kuyazeesha mapema kwa uzito usio na maana,,kuna lipi la zaidi yatamuongezea mtu kwenye maisha yake,,,,,,
A confident woman is an asset,,an ass_oriented woman is an ashole,,umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanapost Instagram,Facebook,WhatsApp status huku wamegeuza makalio yao?They are cheap girls hunting for cheap men.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: