[WANAWAKE TU] JINSI YA KUSAFISHA KYUMA YAKO ILI KUEPUKA MAAMBUKIZO

UTAMU KITANDANI APP
USHAURI*
▶️Uk-e wa mwanamke hujisafisha wenyewe kwa kutoa uchafu wote nje, huna haja ya kusafisha kwa sabuni Ili kutoa uchafu.
▶️Japo nlishawahi kusoma sehemu kuna brash ina kama nchi saba hivi uaipaka sabuni kuna sabuni spesho za kuoshea huko chini ukienda pharmacy watakuuzia. Then unaiingiza unakuwa kama unaizungusha hivi. Then utaitoa halafu suuza tu basi. Kuingiza vidole huko sio salama maana kucha zinakuwa na uchafu mda flani hivyo unaweza ukaleta maambukizi. Pia hata wakati wa kusex usiruhusu mwanaume akuingizie vidole kwenye uk-e
Wako kwani mikono yake huwa ni michafu na ukatuna wengine hata hawajaisinitize😊
*Hata ulimi mda flani sio vizuri kusokomeza huko, unajua why,,,?*
*Mdomoni kuna normal flora wanaoishi ndani ya mdomo, hawapaswi kuwa sehemu ingine na kazi yao hawa ni kusaidia kumeng'enya chakula kinapoingia mdomoni, kwenye uk-e pia kuna normal flora ambao wanasaidia vitu flani kwenye uk-e so unapoingiza ulimi wakikutana hao basi wanaform uadui na kuanza kushambulia wageni na matokeo unapata maambukizi uk-eni*


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.