UONAPO UPENDO WA DHATI πŸ’ UMEWAKA πŸ”₯ KWA MTU UNATAKA AWE MWENZA WAKO WA MAISHA HUYO HAWEZI KUWA SABABU YA FURAHA NA AMANI YAKOπŸ’―


Kwanza kabisa nieleweke;-
πŸ‘‰πŸΌ NDOA NYINGI ZILIZO NA FURAHA NA AMANI NI ZA WATU WALIOKUTANA KWA BAHATI MBAYAπŸ“
Wana ndoa waliodumu kwenye NDOA wengi wao ni wale walioamua kuifuata maana halisi ya NDOA na mambo ya KUPENDANA wakayaweka kwenye uwiano wa ujenzi wa familia yao.
Maana wenye UPENDO WA DHATI kuishi pamoja ni nadra sana, huo wivu hautawaacha salamaπŸ˜‚
Ili utajwe kuwa na UPENDO WA DHATI lazima wivu nao uwe kwenye kiwango cha kutosha, Haiwezekani uwe unampenda mtu halafu uishi nae bila kumpekua pekua hebu jiulize pamoja nami;-
πŸ‘‰πŸΌ ULIWAHI MPENDA MTU HALAFU UKAACHA KUMSHITUKIA SHITUKIAπŸ€”
Ili ndoa idumu ni pamoja na IMANI kwani MAPENZI IMANIπŸ’―
Fahamu wazi mwenye UPENDO WA KWELI huwa hana IMANI bali ni mwingi wa MASHAKAπŸ˜‚πŸ˜‚
Mahusiano ama ndoa ambayo inaweza kuleta ukomavu ni ile unakutana na Mtu kama humpendi ila amekuvutia tu Halafu nae hana hakika kama unamfaa halafu wakati siku zinakwenda anaanza kukupenda nawe unajikuta umezama🎈
Huo ndio uhusiano endelevu na mkioana mnadumu πŸ’―
Hakuna kitu kigumu DUNIANI kushinda UNAMPENDA mtu halafu yeye hakupendi, Mahangaiko utapitia kwa Mahusiano ama ndoa ya mtu huyo wallah utajutiaa🀦🏻‍♂
HAJA YA MTU IKITIMIA MOYO HUFURAHIAπŸ’―
NA IKIKAWIA MOYO HUUGUAπŸ“


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.