PENDO LA MWANAUME KWA MWANAMKE HUSITAWISHWA NA TAMAA YA MWILI💯
Ifahamike wazi ili Mwanaume awe na PENDO kwa Mwanamke ni pamoja na TAMAA YAKE KWA MWANAMKE HUSIKA📍
Ukiona Mwanaume ameacha kukujali wala kujitoa juu yako ujue TAMAA JUU YAKO IMEKWISHA😂😂
Jiulize pamoja nami:-
👉 KWANINI MWANAUME KABLA HUJAMPA NAFASI ALIWEZA KUFANYA YALE ULIMUAGIZA🤔
Majibu ni mafupi kabisa TAMAA YAKE ILIKUWA HAI na alipokupata tamaa yake kwako ilikufaaa ndiyo Maana leo unalalamika, Wanaume kwa uhalisia wao hawana UPENDO ila wanalo PENDO.
UPENDO ni zao la UTASHI na PENDO ni zao la TAMAA kwamba mtu akiwa na UPENDO hawezi kukufanya kuwa MNADA WA MAPENZI 💯
Mnada wa Mapenzi maana yake nini?
👉 Mtu anapokuwa nawe kwa sababu zake kwani Kuna una vinavyomfanya akunadi.
Maana PENDO ni uchaguzi wa kitu ndo huibuka TAMAA ya kuhakikisha unakipata ulichokitamani, lakini kama Mtu ANA UPENDO kwa hakika hawezi kuwa na TAMAA nawe, Na mazingira ya ya tamaa ni pamoja na mtu kutaja kilichompa tamaa, kwa mfano:-
👉 DADA UNA MACHO MAZURI.
Mwisho wa siku macho sio hitimisho la MAPENZI😂😂
Pamoja na kwamba wanaume wanadumu na Mwanamke kwa tamaa zao juu ya Mwanamke husika, lakini Mwanaume mwenye UPENDO hana tamaa na Mwanamke, na wanaume wenye UPENDO ni wachache kwani wengi wao Wana PENDO📍
Wanaume wengi wanasaliti ama kuumiza wanawake wao kwa kukosa TAMAA ENDELEVU KWA WANAWAKE WAO.
Kwa tafsiri hiyo:-
👉 MWANAUME ILI ALETE FURAHA NA AMANI KWA MWANAMKE NI LAZIMA TAMAA YAKE IDUMU KWA MWANAMKE HUYO😋
Kama Mwanaume umempa nafasi na akasepa ujue TAMAA YAKE KWAKO haiko ENDELEVU na hilo ndilo linaacha Maumivu makubwa kwa Mahusiano na Ndoa nyingi za Sasa.
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: