UNAJUA MWANAMKE ANAHITAJI NINI JIFUNZE HAPA!


awe mkeo,dada yako,shemej yako,rafik au jiran yako yeye ni mtu anae hitaj kupatiwa heshima -
MWANAMKE sio chombo cha sitarehe kwa boy wakat wa ngono kama ulivo funzwa na mwalimu wako wa fasih-hivyo acha kujiona shujaa kwa ku sex na girls wengi
--MWANAMKE sio maabara kusema kila majaribio wataka ufanyie kwake ili ujue kama mbegu zako zina tunga mimba afu una mpotezea-
MWANAMKE sio roboti lako kusema kila jambo wataka afanye kama unavyo taka hata kama lita muumiza yeye -
MWANAMKE usi mdharau kwa sababu ya maumbile yake ya kibailojia bali muheshimu maana nae aki wezeshwa ana uwezo kufanya mazur zaid yako ww -
na furahisha unapo sema MWANAMKE ni jinsia dhaifu wakat dada yako-mama,shemej,mpenz au mkeo ndiye anae hangaikia chakula mule huku ww ukiwaza kucheza bao-na kutazama mpira bar-
-MWANAMKE kaku pendezesha kwa pesa zake leo wamdharau na kumtusi-- una lalia ktanda chake chakula gharama yake-kodi ana lipa yy,makalio yako watua juu ya masofa yake
Kuna familia MAMA ndiye kichwa cha familia maana anajighulisha,anashinda porin na kwenye magar kutafuta ridhik familia ishi...lakin mwaume anawaza tu kulewa na kuongeza wanawake na watoto.
Kuna mulio lelewa na mama huku baba zenu wakiwa hawana muelekeo afu leo una mubeza mwanamke
Muheshim na muthamin mwanamke anae jishughulisha..sio kila mwanamke wa kudharauliwa.
Unaweza jikuta ukimpoteza mke bora sababu ya tamaa zako tu na akili ya mfumo dume
UTAMU KITANDANI APP


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.