π➿➿➿➿ *MSAMAHA KATIKA NDOA*➿➿➿➿π
*------•<○●π●○°>•-----*
πShetani siku zote anafurahia sana WANANDOA WANAPOKOSEANA au kuwa na MARUMBANO au UGOMVI.
πYaani hukaa katika yenu, na akawa anachochea kuni za hasira, majivuno, visani, kiburi na anaanza kukumbusha na makosa ya mwenza wako ya siku za nyuma.
πATAMWAMBIA MUME WEWE NI MWANAUME BWANA USIOMBE MSAMAHA, lazima huyo mkeo ndiyo akuombea msamaha, au mkomeshe huyo amezidi, asikii wala haelewi.
πHuku mwanamke atamchokea hisia kuwa UKIJISHUSHA NA KUOMBA MSAMAHA ATAKUONA DHAIFU, HATAREKEBIKA, ATAPATA USHINDI.
πUSIKUBALI katika NDOA YENU kununiana au kukaa siku nzima au hata masaa kadhaa bila mawasiliano kwa sabau ya kukwazana, UKIMYA WENU, ndiyo nafasi ambayo SHETANI ANAITUMIA kuvuruga UPENDO WENU, AMANI YENU NA FURAHA YENU.
πMakwazo yapo na yataendelea kuwepo katika maisha yetu.
*πTUJIFUNZE KUTATUA MAKWAZO KWA KUJISHUSHA NA KUOMBANA MSAMAHA, NAYE ALLAH ALIYETUKUKA ATAIMARISHA UPENDO WETUπ*.
π➿➿➿➿➿➿➿➿π
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: