NISIKILIZENI MWANAUME!

Image may contain: 1 person, outdoor and water
Hii tabia yenu ya kupenda vya rahisi ndo inawafanya mnapata wanawake warahisi kuwapa nafasi lakini pia ni warahisi kuwaacha... Better umsumbukie mwanamke ili akikupa nafasi ujue amewekeza AKILI NA MOYO WAKE KWAKO na hata kukuacha inakuwa ngumu, Mwanamke mzuri ni yule anae usikiliza moyo wake kabla ya kukubari uwe wake, lakini hawa mnawatongoza saa 5 asubuhi halafu saa 7 anataka chips yai ndo wanawagharimu, Mwanamke makini hapokeagi cha mwanaume ikiwa moyo wake haujakubari ombi lako, Kama zilivyo chips ndivyo yalivyo mapenzi ya wanawake skate, STRONG LADY💪 lazima akupe mitihani kama mitatu hivi ndo akwambie muianze safari ya penzi, Huwezi kutaka MWANAMKE MAKINI NA WEWE HAUKO MAKINI... Utaendelea kujilamba na usiweze kula vilivyo vya thamani.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.