ULIWAHI KUUCHEZA MCHEZO WA MAPENZI NA UKAMSHINDA MSHINDANI WAKO?
Mapenzi ni MASHINDANO YA HISIA... Na hilo linatokana na ukweli kuwa UPENDO ni muingiliano wa fikra za watu wawili ambao kwa pamoja wanakuwa katika hali ya kuhitajiana, Haina maana UPENDO huo unapatikana kwenye MAPENZI TU ila hata kwenye jamii na kwingineko ambako kuna uhitaji wa UPENDO!
Mbio nzuri kwenye MAPENZI ni kumshinda mwenza wako kwa kuvuka vile anakupenda yeye, Ukimpenda Mwenza wako kwa kiwango cha kuvuka kiwango akupendacho maana yake KILA KUKICHA ATAPAMBANA KUHAKIKISHA YEYE ANAKUWA JUU YAKO KWA UPENDO... Na hapo ndipo utakuwa mshindi kwa Mwenza wako na utatajwa kuwa MSHINDI! Ni fahari sana UKIPENDWA NA MTU AMBAYE NAE ANAKUPENDA maana ya upendo wa aina hiyo ni KUCHUKULIANA na hapo ndipo utabaini kwamba UPENDO MWINGI HUJENGA NGOME YA FURAHA NA AMANI... Kwenye MAPENZI ukiisha kuwa mwenye furaha na amani kingine unataka nini? Maana MOYO uko mahala salama na wewe uko na salama BASI USHUKURU na kama huna shukrani kwa namna ya upendo unaopewa UTAKUWA HUJUI KUPENDWA! Na kokote uendako utaumiza tu maana hujui kupendwa na itakuwa HUJUI KUPENDA.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: