MAMBO MATATU AMBAYO WANAUME WANAPENDA MADEMU ZAO WAFANYE LAKINI SI WAKE ZAO!
IDD Makengo
Najua leo naenda ‘kulala’ nnje kwa kulitumia hilo nene “Mademu” kuna mtu halipendio mpaka basi lakini kutokana na muktadha wa Makala hii naomba nilitumie na naamini kuwa mnaelewa maana yake. Kuna mambo ambayo mabinti wakiwa katika mapenzi wanafanya kutokana na ujana au ulimbukeni wa mapenzi, kudanganywa na kudhani ndiyo ujanja. Lakini kwa sisi wanaume ukisikia mke wako anafanya unaumia na unaweza kumuacha, ni mambo ambayo demu wako ambaye huna mpango wa kumuoa akifanya unafurahi ila mke akifanya unapigana hembu tuyaangalie.
(1) Kuchora Tattoo; Ndiyo wadada mnapenda na wengine mnapendeza hasa impost picha, uso kwa uso kwangu Tattoo nyingi ni kinyaa hazivutii ila Instgram ndugu zinavutia. Sasa kama ulikua hujui wanaume hawapendi kuoa mke wa namna hiyo, kwa demu sawa wanapenda ila mke. Kweli umepeleke mke wako akachorwe tattoo kiunoni, lijamaa lishike titi la mke wako, kalio la mke kiuno hapa chini ya kitobu sijui na wapi amchore Tattoo, kweli aisee ni wanaume wachache wanaweza. Hivyo ukiona anakuhamasisha hayo mambo mara nyingi nikwakua anajua hana mpango na wewe, yaani ukamtambulishe kwa Mama au Baba halafu Titi limeandikwa “Only God Can…ilove..” sijui na kamchoro ka mguu daaa!
(2) Kupiga na kupost picha za uchi uchi/kimahaba;Kupiga picha za uchi uchi, mmekumbatiana manaogelea kupost, kunyonyana mate na uchafu mwingine kama huo ni raha kufanya na demu wako na mkapost kuwarusha roho washikaji. Ila mke wako kufanya naye nom asana, kwanza si heshima, lakini kuona picha za mke wako anashikwa shikwa na mwanaume mwingine hata kama ni X wake, Baba yako anaona namna mke wako unavyombambia au alikua anabambiwa huko zamani! Daa huo uzungu bado hatujafikia. Niwachache sana wanaweza, uchi wad emu kuonekana hauna shida lakini mke! Noma ndiyo maana ni ngumu kukuta mshikaji anampost mke wake na vichupi vichupi hata kama anaogelea, ngumu kumeza!
(3) Kufanya mapenzi kinyume na maumbile; Hii bwana hakuna anayependa kufanya na mkewe na mara nyingi ukiona mtu anafanya na mkewe jaua kashakua mgonjwa hawezi kabisa kawaida. Wanaume wangi hawawaheshimu wanawake wanaofanya hivi, hawawaamini kuwalelea watoto wao wakike kuwa watawaharibu. Ukiona mpenzi wako anakuomba hiyo mechi ya huko jua kashakuacha anatafuta sababu tu au yuko na wewe ila hana mpango wa ndoa. Kama unatoa mecho za uani ukidhani uamshika ili akuoe basi jua ngumu sana mwanaume kuoa mtu wa namna hiyo, ni kinyaa unajua. Mwanaume anaweza kufanya lakini akisikia mke wake alishawahi kufanya hata kama ni zamani anaweza muacha.
Mimi nishamaliza kuna wanaume kweli wapo tofauti hawajali hivi vitu ila wengi daaa haya mambo unafanya kwa demu tu si mke.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: