Uzuri wa mke wako kamwe hautokani na muonekano wake

, hautokani na namna anavyopendeza, hautokani na namna marafiki zake wanavyomsifia huko mtaani, hautokani na namna watu wanavyomtamani huko mtaani.
Unatokana na wewe mwanaume, wewe ambaye unaamka naye kila asubuhi, unamuona wakati akiwa ameamka, kabla hata ya kuoga na kupaka makeup ukambusu na kumuambia nakupenda, namna unavyosisimkwa mnapokuwa chumbani pamoja.
Ametoka kunyonyesha, ametoka kupika lakini wala hujali, umetoka kazini umependeza lakini ukamkumbatia na kumuambia nakupedna sana mke wangu. namna ambavyo anajisikia vibaya abaada ya kuumw amuda mrefu.
Anajiona kakonda havutii, ukamtoa out na kumkumbatia mbele ya watu wlaiokuwa wkaimshangaa kwnaini kakoda ukamuambie nakupenda, bila kujali macho ya watu na bila kujali kuwa kweli alikua anaumw ana kakonda.
Mkeo atajisikia mzuri pale ambapo utaacha kuangalia wanawakew engine na kumuangalia yeye, pale ambapo utamuona akimkodolea macho mwanamke mwingine ambaye amejaaliwa matako kuliko yeye ukasema “minyama yote ile anapeleka wapi?”
Ndiyo uzuri wa mwanamke, uzuri wa mkeo wako unatokana na wewe, hata kama ulimwengu mzima ukimuona kama malaika lakini kama wewe ambaye anakupenda na kaamua kuishi na wewe kusubiroi kifo kiwatenganishe utamuona kama kinyago atajihisi kama kinyago.
Nilazima mkeo ajue, lakini si ajue tu pia umuonyeshe kuwa yeye ndiye mwanamke wa maisha yako. Hajakamilika lakini kutokukamilika kwake ndiyo ambako kunakufanya umpende zaidi umemchagua yeye na huwezi kumbadilisha hata kama ukipewa ulimwengu.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.