KWA NINI WANAWAKE WANAPENDA ZAIDI MWANAUME AMBAYE ANAMFAHAMU KULIKO ASIYE MFAHAMU?
Majibu ni mafupi sana, Mwanamke ili aweze kumpenda mwanaume anahitaji mambo mawili kwa mwanaume huyo;
■ USALAMA WAKE.
■ KUIJUWA TABIA YAKE.
Ndo maana Wanawake hushawishika haraka kwa mwanaume anae muona matendo na tabia nzuri alizonazo, Ili Mwanamke aweze kujuwa HISIA zake kwa mwanaume ni wazi anahitaji muda na ukaribu wa mtu huyo, Mwanamke akiyabaini haya kwa mwanaume huishi kwa kujiamini sana;
¤ UKARIBU.
¤ URAFIKI.
¤ HURUMA.
¤ KULINDWA.
Yakikosekana hayo ni kweli Mwanamke hawezi kumpenda mwanaume hata kama umefunga nae ndoa ama umeishi nae na kuzaa nae, anaweza kuvumilia kwa sababu zake but nikwambie IKO SIKU ATAKUACHA HUTAAMINI! Hawa viumbe waitwao MWANAMKE ni wazuri na watu wanaopenda sana waishi maisha akiwa na Mwanaume, ni jukumu la kila mwanaume kuijuwa nafasi yake kwa Mwanamke, ukiona sifai kukufundisha basi mrejeshe mkeo kwenye hali ya Umwanamke wake ili uepuke fedheha Maana MWANAMKE anapokuwa anakutungia SHERIA jiandae kuiona dunia chungu.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: