KUCHEZA NA MOYO PAMOJA NA MUDA WA MTU NI RAHISI SANA IKIWA HUNA UPENDO WA DHATI!
Lakini ni ngumu sana KUMPATA WA KUFANANA NAE maana kinachompa mtu ujasili wa kuumiza mwingine ni udhaifu wa mtu huyo, Mazoea yanaweza kukufanya uogope kuondoka kwenye MAPENZI FAKE lakini nikwambie kwamba KADIRI UNAVYOMPA MUDA WAKO NDIPO ANAZIDI KUKUDHARAU... Haijui THAMANI yako na wala hasumbuki kujuwa kuwa UNAYO THAMANI KWA WASIOKUZOEA ila yeye anahangaishwa na mazoea, Usijiulize utampata wapi kama yeye wakati hujaiona tofauti kati yake na mwingine pengine hujiamini lakini kumbuka WAKATI WAKO WA KUKOMBOLEWA HAUTAJWI KWA MANENO bali unathibitika kwa ishara, Kwenye MAPENZI ukimkosa mtu wa KUKUHURUMIA, WA KUUGUA JUU YAKO, WA KUKUHESHIMU basi wewe jipange kuwa wa mpito.
#Elista_kasema_ila_sio_she
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: