Je Mwanamke Unafahamu Kukata Mauno? Jifunze Hapa Usibweteke Kitandani



Sio siri licha ya kuwa na pilika nyingi mchana kutwa lakini unapoingia usiku hasa kwa wale wanao ishi na wenza wao ni vyema kufarijiana kwa njia hii, ili kuchangamsha mwili na akili kwani kujua kupika na usafi ni mambo ya kawaida lakini  katika nyanja za usiku inabidi uwe fundi na ndio maana nimeamua kukujuza ni jinsi gani unaweza kutaka ili kuwa kivutio au uaridi kwa mumeo kwa wenye waume na wale ambao hawajajaliwa kupata ndoa lakini ndo wanatarajia kufanya hivyo, sasa hakuna mpango wa mji kama huu mwanadada;
Jinsi ya Kukata Kiuno; Usikurupuke mwanadada inabidi ukate kiuono kwa mazoea kwa kufuata utaratibu huu ambao mtembezi.com unakuelekeza; kwanza Simama wima ukiwa hauna nguo mbele ya kioo ndo itakusaidia vizuri maana kukata kiuono ukiwa umevaa nguo zinaweza kukudanganya,sasa hapa weka mikono yako tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele litunishe halafu baki hivyo kwa muda kidogo halafu lirudishe kwa ndani na ubaki tena kwa sekunde chache,hapo inabidi urudie tena huku umebana pumzi na mdomo wazi ambayo itasaidia kukazamisuli ya tumbo,kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap,kugandisha  mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema.
Msingi wa kukata kiuno; Kama nilivyosema awali, simama wima na ujishike kiuno na ukizungushe huku na huku na kisha kipeleke kiuono sehemu ya kiuno kulia yaani upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo alafu baada ya hapo peleka sehemu yako ya kiuno ya kushoto- kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele na nyuma hali itakayofanya makalio yako yabinuke kisha rudia upande wa kulia ulipoanzia.
Ila Inabidi uwe shapu na urudie hatua hizo kama mtembezi.com ilivyo ainisha hadi mara ishirini na kuendelea ili uwe mauno feni.
Kupitia hivyo basi ni dhahiri utakuwa mwepesi na hapo ndo ubunifu kama mtoto wa kike ni muhimu kwa kugundua mbinu mbalimbali lakini hatukuachi hapo tu tunakupa baadhi ya mbinu kama kulala chali, kifudifudi, ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee halafu usisahau ukiwa ndani ya futi sita kwa sita ndo maujuzi na kujipima kama umeweza lakini hapa kwetu hakuna kujaribu ni utakuwa mwalimu wa walimu hadi atadata bwana Fulani.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.