USIYAHUKUMU MAPENZI KWA AKILI 🧠 BALI SUBIRI HUKUMU YA MOYO KUWEZA KUACHANA NA MTU ULIYEMPENDA💯
Macho
ni madanganyifu, Masikio
ni machonganishi hata kupelekea akili kukosa ustaarabu hata kuanza kutawanya chuki ndani ya NAFSI pamoja na MOYO





Na hapo ndipo anguko la UPENDO
kuanzia, Mtu uliyempenda kwa MOYO na NAFSI yako haondolewi kwa vita ya IMANI


Uaminifu hauji Kwenye maamuzi ya NAFSI ama UTASHI WA MOYO bali ni matendo yatokanayo na mapokeo ya MACHO
pamoja na MASIKIO
ndo maana ni ngumu MOYO kukubari ya kusikia, kuona ila ni mpaka Moyo wenyewe uanze hofu inayotokana na HISIA YA USALITI hapo ndipo Mtu anaweza kusema IT'S OVER



Kusema IT'S OVER kwa kuona ama kusikia haitoshi kuwa ndo MOYO AU NAFSI vimefika mwisho, hiyo ni akili pamoja na hali ya kujaribu KUJITUTUMUA ila tatizo lipo pale paleeee



Wengi tunajikuta katika MAUMIVU kwa kuangalia ama kusikia mienendo ya wapenzi wetu, bila kujali ni UAMINIFU ama ni USALITI lililo kuu Kwenye MAHUSIANO AMA NDOA NI IMANI kinyume cha hapo HAKUNA MKAMILIFU

Uambie MOYO wako jinsi UNAMPENDA mwenza wako, Uulize MOYO wako unakosea wapi ili mwenza wako awe kama ulivyotarajia, jichunguze tabia yako ujue mambo yanayomkera mwenzako na baada ya hapo pima MAKOSA yako, Pima MAKOSA ya mwenza wako kisha JISAHIHISHE na ndipo uweze kusubiri mabadiliko ya upande wa Pili, Ukifanikiwa haya UMESHINDA
VITA YA MAPENZI.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: