KINACHOUMIZA NA KUUA MAHUSIANO NA NDOA NYINGI NI MAKOSA KUTOSAHIHISHWA

Wengi tunaishi na Wenza wetu kwa MAZOEA Pengine ya kuamini Mwenza wako akilia ukamuomba msamaha yanaisha, ama kama ni Mwanaume akiumia akalopoka matusi ndo yameisha, haiwi hivyo kwani nature ya kila UMIVU la MAPENZI moja kwa moja huelekea Kwenye MOYO na hapo ndipo shida huanzia



Mtu anaweza kutamka msamaha akiamini tatizo limekwisha ila tatizo ya matatizo mengi ya MAHUSIANO/NDOA ni kama ifuatavyo:-



Na mengine yanayofanana na hayo, Kamwe hayaaondoki kirahisi MOYONI ikiwa tayari mwenza wako akiishaumia

Uongo ni kama NATURE Mara nyingi mtu hawi muongo kama sio MUONGO BY NATURE
Kama ilivyo kwa Mtu MBINAFSI sio jambo la kujifunza wala la kutengeneza ila ni TABIA HALISI ya mtu, Ukiongelea USALITI hivi tayari una mtu Unaanzaje kupanga makutano, ukavaa vizuri ili ukamtege mtu halafu iweje useme SHETANI AMEKUKAMATA



Kama utasahihisha Makosa yako ni rahisi mno KUPEWA NAFASI YA PILI na mara zote hiyo ndiyo inayodumisha MAHUSIANO/NDOA

Kama huwezi kusahihisha matatizo yako niamini ni ngumu Sana kuliona PENDO ulilolipoteza kwa Makosa yako mwenyewe

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: