DUNIA 🌏 TULIYOPO SASA HAKUNA HAKIKA YA UAMINIFU KATIKA MAHUSIANO AMA NDOA WENGI WAPO HUMO KUFICHA TABIA ZAO MBOVU💯
Wenza wengi wanalia juu ya UPENDO  wakati huo huo anaelia nae sio Mwaminifu kwa mwenza wake, Kila mmoja na namna anavyoumia, Zamani DUNIA ilikuwa kama kijiji kwamba ni ngumu mnoooo mtu Mke ama Mtu Mme kusaliti MAHUSIANO/NDOA yake, Tofauti na Sasa kwamba hata ukimbana vipi SIMU
 wakati huo huo anaelia nae sio Mwaminifu kwa mwenza wake, Kila mmoja na namna anavyoumia, Zamani DUNIA ilikuwa kama kijiji kwamba ni ngumu mnoooo mtu Mke ama Mtu Mme kusaliti MAHUSIANO/NDOA yake, Tofauti na Sasa kwamba hata ukimbana vipi SIMU 
 ama computer
 ama computer  inatosha kumfanya AKUSALITI
 inatosha kumfanya AKUSALITI

Zamani UHURU wa MAHUSIANO ama NDOA ulitajwa Kwenye UAMINIFU lakini kwa sasa UHURU unatajwa kwa UBINAFSI na hapo ndipo anguko la USALAMA WA PENDO hutoweka

Mahusiano ama ndoa maana yake ni kukubari uwe Kwenye MILIKI ya mtu uliyeamini UNAMPENDA na ndivyo ilivyo kwa upande wa Pili, Mnapokuja katika UBINAFSI kwamba kila mmoja ANAPASHWA kufanya mambo yake bila bughudha hapo ndipo maana ya umoja wenu unatoweka, Mtu yupo tayari kukosa AMANI NA FURAHA kwa simu kuishiwa bundle ama kuharibika kwa

Mahusiano ama ndoa nyingi zinatunzwa na MITANDAO YA KIJAMIII mtu Mke ama Mtu Mme akiwa na upweke kidogo akiingia WATSAAP akabadili ka PROFILE PICTURE  akiona HELLO
 akiona HELLO  masikio
 masikio yanamsimama kama popo
 yanamsimama kama popo
 akiona HELLO
 akiona HELLO  masikio
 masikio yanamsimama kama popo
 yanamsimama kama popo
Hapo hawazi cha Mke wala cha MUME
 maana tayari kapata wafariji,
 maana tayari kapata wafariji,

 maana tayari kapata wafariji,
 maana tayari kapata wafariji,Waliofanikiwa kujenga DHAMANA YA UPENDO  KWA WENZA WAO ni wale wanaojua kukabiliana na mabadiliko ya mood za wenza wao na sio kutafuta FARAJA mitandaoni
 KWA WENZA WAO ni wale wanaojua kukabiliana na mabadiliko ya mood za wenza wao na sio kutafuta FARAJA mitandaoni

Mahusiano ama ndoa ikibebwa na mambo yatokanayo na FARAJA siku zote huwa haidumu, Kama kweli UNAMPENDA simamia ahadi zako kwake, itakuwa rahisi kwake kulipa yale umtendeayo, Kama unajaribu kutafuta FARAJA kwa MITANDAO YA KIJAMIII niamini utaliwa na usione faida yake, Maana Mahusiano yanayokuja kwa ATTENTION YA WATSAAP huisha kama vile Picha yako ikipitwa na mvuto ama jumbe zako kuzoelekea.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
 
No comments: