💅💅UTAMU WA USIKU💅💅 💅Jifunze kuongea na mumeo maneno matamu hasa usiku jamani,

💅💅Sanchiworld in 2020 | Fashion, Women seeking men, Striped

UTAMU WA USIKU💅💅
💅Jifunze kuongea na mumeo maneno matamu hasa usiku jamani,
💅mume ndio swahiba wako ndio ujue mume anataka maliwazo yako uwe na sauti nzuri kuongea na mumeo zile sauti zetu usipayukee mbembelezee kwa mahaba asahau yote yamkerao huko apitapo
💅mume mtamuu ukiongea nae kwa ufasaha ndo wanasem mwanaume kama mtoto mlee mpende mdekezee ajisikie katoka kwa mama yake kaja kwako umfundishe mazuri mabaya asiyagusee
💅 ukimnyima chakula atadoea kwa watu mwisho atakua mdokozi/atadokoa michepuko😍
💅basi ishi na mwanao/ mpenzi kwa raha sio kwa ajizi
Wala ushindani mwari na ajizi nyumba ya njaa,sasa ww zubaa tuu uone km hujaibiwa mume💅💅💅💅💅💅💅💅


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.