SIMULIZI YA KWELI KABISA

SIMULIZI YA KWELI:!

Msichana mmoja alkuwa anaishi na mjomba wake kwasababu wazazi wake walikufa, Baba kwa ugonjwa hatari wa UKIMWI, na Mama alijinyonga mwenyewe. 

Alikuwa ni Mtoto pekee, toka kwenye tumbo la Mama yake. 

Alisomeshwa na Mjomba wake toka nursery mpaka darasa la 7, na wakati binti uyo akiwa darasa la 7 mjomba wake alianza kuingiwa tamaa ya kimwili kwani alimuona binti uyo kuwa ni mzuri sana akamtamani.

Basi siku moja usiku, Mjomba alienda kwenye chumban cha binti nakumtaka kimwili huku akimtisha kuwa akigoma atamfukuza nyumbani kwake na hatomlipia ada za shule.

Basi binti akajaribu kupiga magoti nakulia kumuomba Mjomba wake hasiwe na roho iyo, lakini Mjomba wake hakumuelewa kabisa.

Basi ikabidi binti akubali kuondoka tu, kuliko kuingiliwa kimwili na Mjomba wake katika umri Mdogo Kama wake. 

Kwa hasira mjomba wake akamfukuza usiku uo huo. Basi binti alitoka nakuanza kuzulula mitaani hasijue aende wapi usiku wa manane uo, Binti aliangaika sana, na muda wote alikuwa akilia kwa njaa, kiu, miguu kuuma.
Usiku mmoja binti akiwa peke yake akaamua afanye jambo la mwisho, jambo lenyewe ni kumuomba MUNGU amsaidie. Alitandika box akapiga magoti nakuanza kumuomba MUNGU kwa hisia kali huku akibubujikwa machozi.

Alimaliza kisha akasema; 

"MUNGU kama huto nijibu, tafadhali naomba nichukue nije niwaone wazazi wangu!" Kisha akalala.

Asubuhi ya siku ya pili kuna mwanamke alikuwa akipita na gari yake mitaa iyo, alishangaa kumuona binti akiwa anaomba alafu kachafuka sana. Alijiuliza uyu ni kichaa, omba omba au muokota makopo.? Akaamua kusimamisha gari, kisha akamwita nakumjaribu kuwa aingie kwenye gari.

Basi akamchukua mpaka nyumbani, binti akamsimulia kila kitu yule Mama. Ndipo uyo Mama akampeleka binti kwenye shule binafsi ya gharama, nakumnunulia kila kitu kizuri Kama Mtoto wake wakumzaa vile.

Binti aliitimu elimu ya sekondary, akaenda chuo kikuu, akaitimu nako pia. Na sasa ivi navyo ongea binti uyo ameajiliwa anafanya kazi BANK KUU YA DUNIA MJINI USWIZ.

Ata wewe, MUNGU anaweza kujibu maombi yako. Lakini je; umemuomba nini na lini?

Namtabiria mtu mmoja anayesoma ujumbe huu, akapokee MUUJIZA wake, Kama akishare katika groups 3 za Facebook.

Hauto lia na wanao lia, wala kujuta na wajutao, ndani ya mwaka huu.

"Kwa imani sema AMEN"

Usiseme Amen, wala kushare, Kama huamini nguvu za MUNGU.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.