🌹SEHEMU MUHIMU ZA KUJISUGUA WAKATI WA KUOGA, MWANAMKE🌹

Stripes #2 : Sanchoka
*DARASA LA MAHUSIANO*
1) Usoni hapa ndo mapokezi lazima uso utiwe sababun kira asubuhi na jion pamoja na masikio lazima yasafishwe na sabun kira mda wa kuoga tena mpk ndani ya sikio.💕💕💕
2) Shingoni huwa tunapasahau utakuta mwanamk anatembea shingo inavuja taka tena nyeus mpk kinyaa💕💕
3) Makwapani mpk chni ya maziwa hakikisha unatia sabuni na kupasugua vizuri 💕💕
4)Kitovu na mgongoni sehemu hizi wengi tunafel sana huwa tunazisahau, kitovu kinawek uchafu sana ila hautjui, mgongon huwa kinaweka michirizi ya uchafu💕💕💕
5)kuma na matakoni huku jamni ndo kira kitu tena km hakuja safishwa kuna nuka balaaa, kwenye pachpachu ya matako na mapaja muhimu kusafisha,💕💕
6) Kwenye miguu mpk kweny magaga, hapa huwa tunatia aibu sana mtu kapendeza lkn mguu mweusii....🌹🌹🌹🌹🌹🌹


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.