WANAWAKE TU;FAHAMU NJIA 6 ZA KUMUONGOZA MWANAUME ANAYEKUVUTIA HADI AKAWA WAKO


WANAWAKE wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea mwanaume moja kwa moja kumwaga sera kuwa unataka ‘akung’oe’.
Ni kweli kwamba, hata kama mwanaume akimkubali mwanamke awe mpenzi wake baada ya kutokewa, imani yake huwa hafifu kuhusu penzi la kweli la mwanamke huyo. Anaweza kumtumia kwa siku kadhaa kisha akamwacha. Huo ndiyo ukweli.
Wanawake waliowahi kuwatokea wanaume wanaweza kuwa na ushahidi mzuri zaidi juu ya hilo. Pamoja na hayo yote, bado mwanamke anabaki kuwa binadamu, mwenye hisia za upendo na kutamani baadhi ya vitu.
Anaweza kumpenda mwanaume na ni haki yake ya msingi kabisa. Kuwa katika uhusiano na mtu unayempenda kwa dhati ni jambo zuri. Moyo huridhia na kuwa huru katika uhusiano huo.
Hapa katika Let’s Talk About Love tunakupa dondoo zitakazokusaidia kumsogeza mwanaume ambaye ameuteka moyo wako na hatimaye kuwa wako moja kwa moja. Katika vipengele vilivyotangulia nilieleza kuwa, kwanza mwanamke ni vyema ajitunze na aweke mwonekano wake wenye kuvutia muda wote halafu pia nikaeleza kuhusu kumvutia mwanaume kwa mambo mbalimbali hasa mavazi na mambo anayopendelea. Sasa tunaweza kuendelea.


ASIWE KWENYE UHUSIANO
Jambo lingine la kuzingatia kwa mwanaume huyo wakati wa harakati za kumweka mikononi mwako ni kuhakikisha hayupo kwenye uhusiano na mtu mwingine. Kuna baadhi ya wanawake wapo tayari kuwa na mwanaume hata kama yupo na mpenzi mwingine; hilo ni kosa na naweza kusema ni umasikini wa kufikiri.
Kama kweli umempenda, itakuwa na maana kama utaweka makazi ya moyo wako kwake milele na siyo kwa muda mfupi tu.........ILI
USISAHAU KUSHARE NA WENZAKO



(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.