WANAWAKE JIFUNZENI KUWA MAWASILIANO YA AMAN HUMFANYA MWANAUME AKUELEWE.


utamuzaidiapp
*Umempigia simu mumeo hapokei/ umemtumia meseji hakujibu. Angalia hatua wanazochukua Hawa wanawake.* (1) *"Pole mume wangu natambua majukumu yamekuzidia ndio maana umeshindwa kupokea simu yangu, Nina Jambo muhimu Sana nahitaji kukwambia tafadhali ukiwa free nijulishe my love. 

NAKUPENDA."* *(2) " Malaya mkubwa wewe Yani nakupigia hupokei upo na mahawara zako sindio??,, Mwanaume paka mapepe kweli wewe, pua Kama mshumaa wa jumapili kanisani! Nikikuuliza Unadai upo kazini. Mwanaume baradhuli wewe uso mdogo Kama raundi abauti ya Kigogo..Ukirudi utanitambua!"* *Inawezekana ukawa wewe unafanana na huyu mwanamke wa pili , Madhara yake hata Kama huyo mwanaume wako hafanyi umalaya utamfundisha wewe maana atahitaji kufanya kweli!* *Meseji ya Kwanza Ni nzuri zaidi na hata Kama huyo mwanaume alikuwa anakusaliti nafsi itamsuta na ataacha tabia mbaya kwasababu tu umeonesha Hali ya kumuamini.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.