📌📌📌WAJUE MA ZERO BRAIN KWENYE MAISHA 📌📌📌📌



UTAMU KITANDANI APP
📍📍📍📍📍📍📍📍📍📍📍📍
📌📌📌Mwanaume hataki kuoa etyi hajajipanga lakini ana vimada na watoto wa zinaa Kila Kona📌📌
📌📌📌 Mwanamke umetoa mimba weeee!!madai hujawa tayari kuzaa Kisha ukiolewa unaanza kuzurura kwa waganga na nyumba za ibada ili upate mtoto ulidhani Mungu ni Babu yako??
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
📌📌📌Mi nataka mwenza mwenye dini mcha Mungu wakat mwenyewe hata kibla huijui
📌📌📌📌📌
Umehongwa gari Kisha unamshukuru Mungu 📌📌📌📌
📌📌📌
📌📌📌Kila anaetaka kukuoa unamtoa kasoro wakati unazini na mume wa mtu zero brain 📌📌📌
📌📌📌Unamsema vibaya mwenza wako wakat bado unaishi nae📍📍
📌📌📌📌📌Yani Kila mtu ana tabia mbaya na anakukosea lkn wewe humkosei yeyote📌
📍📍📍📍📍
📌📌📌Umevaa kimini Kisha unahangaika kujiziba mapaja na vipochi🔨zero brain 📌📌
📌📌📌📌
📌📌📌📌📌Umeweka nywele za bandia kope bandia umejichubua chubu na hipsi la kichina Kisha ukiambiwa umependeza unajibu na uzuri unachangia😂😂😂😂 zero brain 📌📌📌
📌📌📌📌Ukiwa na matatizo ndio unakesha kumuomba Mungu yakiisha hata kumtaja kwa bahat mbaya inashindikana uliambiwa Mungu ni mjomba wako📌📌zero brain 📌📌
Tubadilikee✉️✉️🤝


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.