USIKUBALI KUNUNIANA NA MWENZA WAKO


                    

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴☝️☝️☝️🔴🔴🔴

Ndugu zangu wanandoa, napenda tukumbushane jambo hili. Hata kama mwenza wako amekukosea, usikubali kukaa na hasira siku nzima, usikubali kusema ngoja nimkomeshe kwa kutozungumza naye au kutojibu jambo lolote analokuuliza mwenza wako, au kuamua kahama chumba na kulala sebuleni kwa sababu umekosana na mwenza wako.
UNAPOKOSANA na MWENZA WAKO, tambua kwamba yeye ni binadamu, yeye ni madhaifu, katika ubinadamu wake na udhaifu wake, tambua WEWE MUME au MKE una wajibu wa kumuimarisha mwenza wako na siyo “kumdharau” au “kumuona yeye ni mdhambi siku zote” hana jema lolote.🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Kweli kabisa, lakini kwa bahati mbaya siku hizi mambo yamekuwa tofauti kabisa! Mke na Mume wanakosa maelewano, mmoja anahamua kuhama chumba na hali mbaya kabisa Wachungaji (wakiwamo waliofungisha ndoa wanabariki swala la kutengana chumba). Nadhani tumefikia zama za mwishoni kabisa Yesu yu karibu kurudi!
Happy Millennial Couple Embracing And Watching TV, Sitting On Sofa In Living Room Stock Photo - 130007468


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.