*🍇UMUHIMU WA VITAMBAA KWA WANANDOA🍇*





*------•<°○●🕸●○°>•------*
🍇Mwanamke upo bibi shurti uwe na zana zako maalum kwaajili ya kumsafisha mumeo manapomaliza kwichkwich
🍇Sio mmemaliza kufanya tendo unafuta kwenye shuka aihusu bibi, Kua na vitambaa zaidi ya kimoja bibie
🍇Unapokua tayar kulala andaa vitambaa vyako vya kutosha, Viwe visafi na vyenye kunukia uturi ili mkianza mambo zana ziwe ziko pembeni
🍇Baada ya kumaliza mambo yenu chukua kitambaa chako mfute mumeo uku umelegeza sauti mtt na mabusu motomoto ukimwambia mumeo ""ahsante mume wangu
🍇Hakika nimenjoy"na maneno mengi tu matam na yenye kupendeza
Bwana akitaka mechi iendelee weka kile pemben sogeza kingine mana kile kitakua kimeshatumika
🍇Asubui fua vizur vitambaa vyako vilivyotumika anika vizur vikauke kama una pasi vipige pasi hifadhi mahali pazur kama huna pia unaweza ukahifadh vizur
🍇Sio kitambaa cha jikoni ndio unachukua usiku unamfutia mumeo haifai au mashuka mnafutia haifai Bibi kua na vitambaa vyako hata Viwe mia navyo vina umuhimu wake
*🍇WADADA MPOO🍇*
YANGU NI HAYO TU
*NAWATAKIA UTEKELEZAJI MWEMA*
*-------•<°○●🕸●○°>•-------*
*Ukiyapenda yachukue kama yalivyo*


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.