MWANAUME NI NGUMU KUIJUA THAMANI YA MWANAMKE WAKE ILA WANAUME WENZIE NI RAHISI KUIJUA THAMANI YA MWANAMKE HUYOπ―
Hiyo ndo maana halisi ya msemo wa wahenga;
• KWENYE MITIπ² HAPANA WAJENZIππππ
Hilo ndilo tatizo kubwa kwa Wanaume ndo maana mpaka kesho nitasema MWANAUME HAJUI KWANINI ANAMSALITI MWANAMKE WAKE ila Mwanamke akiamua kusaliti anajua sababu ilompelekea kutoka nje ya NDOA yake.
Sababu ya Mwanaume kutojua SABABU INAYOMFANYA KUTOKA NJE YA NDOA ni pale anapoamua kumtamani Mwanamke Mwingine huku akijua Mkewe ni zaidi ya Mwanamke Mwingine ππ
Ili Mwanaume ajue THAMANI YA MKEWE ni pamoja na kutomsalitiπ―
Ukiona Mwanaume anakusaliti ujue THAMANI yako haijui japo huko nje wanaume wengine wanaijua THAMANI YAKO πͺπΌ japo na wao wakipewa nafasi hawataijua THAMANI YAKO ππ Maana hulka ya WANAUME NI MOJA KUTAMANI huku wao wakiamini ni UPENDO.
Hakuna utundu, wala majaaliwa yako etiiii yatatuliza TAMAA YA MUMEO ila ni yeye mwenyewe kuamua kupumzika kama sio kuacha ππ
Muda Mwingine na UMRI nao ni chanzo cha utulivu wa Mwanaume maana wanaume waoga wa kukosa msaada pindi wanapozeekaπ¨π»π¦³
Kuliko kupambana na MICHEPUKO, KUHUDHURIA MAKONGAMANO YA WANAWAKE ILI KUPATA ELIMU YA KUMTULIZA MUME KABLA HAJACHOKA MWENYEWE ANZISHA UFUGAJI WA VIPEPEOπ¦ kwa sasa ni dealπππ
Maana ili Mwanaume aijue THAMANI YA MWANAMKE NI PINDI ANAPOKUWA ANAHITAJI ILE KITU INAMESAAAA MWENSIE πna kama ndo havutiwi nawe tena basi tenaaaaa ndo hesabu IMETOKAAAAπ
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: