MUOGOPE SANA MPENZI WA AINA HII
Make sure mtu akupende wewe yani kuwe na kitu zaidi ya ngono kinachoweza kuwafanya kukaa pamoja na bado mkawa na furaha. Kuna reaction za Tembe za uzazi zinaweza kufanya uka-bleed Mwaka mzima, kama Huyo jamaa hakupendi wewe anapenda tu ngono na wewe lazima atachepuka.
Tafuta kitu zaidi ya gari na nyumba na hela za mwanaume ili upendo wenu udumu. Maana ukimpendea hela na wewe ukazipata hiyo Ndoa inakuwa haina jipya. Ndio maana nasisitiza muwe marafiki kwanza, mtafute namna ya kufurahiana bila ngono.#KIBONDE
Counsell
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: