🔹MIONGONI MWA MAMBO UNAYOPASWA KUMFUNZA MTOTO WAKO WA KIKE🔹

UTAMU KITANDANI APP
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
*🔹Jaribu kumfundisha mtoto wako kwamba anapoamka kitandani atandike kitanda chake hatimae itakuwa ni tabia yake hata akiwa mkubwa*🔹
*🔹Mfundishe kwamba anapokula niwajibu kwake kuomba dua na kuondosha sahani aliyekula naye nakufuta hata Kama una kijakazi usikubali amfanyie yeye*🔹
*🔹Usimfulie nguo zake za ndani mfundishe kujifulia mwenyewe polepole hatimae atazoea*🔹
*🔹mfundishe kwamba ni makosa watu wazima wakiongea na yeye yupu hapo haipendizi mwambie awapishe wageni wakiwa na mazungumzo*🔹
*🔹Mwambie asiwe ni mwenye kupiwa piwa vitu na mtu asiyemjua kwani hiyo sitabia nzuri na huenda akahadaiwa aidha akabakwa au akatekwa nyara mwambie madhara hayo*🔹
*🔹Mkatazi kabisa asiwe ni mwenye kupigiwa mbizi na wanaume au yoyote kumuita mchumba manake hilo ni kosa nakiambiwa hivyo aseme haraka sana*🔹
*🔹Usiwache bint wako wakike alale na mfanyi kazi kwani huwezi jua usiku anafanya nini mtoto wako*🔹
*🔹Jaribu Sana kuwa karibu haswa na mwanao wakike ile kukitokea jambo lolote uwe ni Mtu wakwanza kukwambia epuka ukali ulipita kiasi kwani utajenga uoga kwa mwanao*🔹
*🔹Mfundishe mwanao kwamba siri za nyumbani hazitolewe nje awe mwenye kuhifadhi ndimi zake na ajui kufanya hivyo ni kosa*🔹
*🔹Usimruhusu mtoto wako kuwa na simu kwani simu zimeaharibu Sana watoto na Kama ina umuhimu chungunza Sana anachofanya mwanao kwa hiyo simu isije kuwa sababu ya maangamivu yake*🔹
*Usimuruhusu CD yoyote atamthilia bila kuangalia kinachoongewa pale kwani siku hizi utandawazi umekithiri nawatoto wengi wanaiga kwa kuoana*🔹
*🔹Kabla hujamuhimiza mwanao kuswali hakikisha nawe unaswali kwani watoto wengi wanaiga vitendo kuliko maneno*🔹
*🔹kamwe usikubali mtoto wako kusafishwa sehemu Za Siri na yeyote muhimu kabisa afanye mama mzazi namwambie asikubali kushikwa na yeyote sehemu*
*NADHANI NI UKUMBUSHO TOSHA KWA WA MAMA NA WAZAZI WATARAJIWA KWANI MAMA NDIO MADRSA YA KWANZA NA AKIONGOKA MAMA UMEONGOKA UMMA MZIMA*
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
*BY ADMIN*


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.