LADIES .🔹My kama umeshaingia kwenye ndoa halali au umeamua tu kuishi naye
LADIES .🔹My kama umeshaingia kwenye ndoa halali au umeamua tu kuishi naye
Basi zingatia yafuatayo ukiyatekeleza kwa uhakika kuanzia leo ni zaidi ya libwata la kikwere.... 1. Mtie moyo katika kazi zake na kumfariji
2. Muache atumie mamlaka yake kama
kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani.
4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira.
Unaweza ukaenda kumuomba msamaha
na kumueleza kwanini ulimkosea pale
hasira zinapokua zimemuisha.
5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha
pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale
anapokusamehe.
6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla
ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya
hivyo.
7. Waheshimu wazazi wake.
8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia
wazazi wake na kuwapelekea chochote.
Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.
9. Msuprise kwa chakula akipendacho,
hasa kipindi kile anapokuwa na msongo
wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.
10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie
chakula mume wako ukiwa nyumbani.
11. Mkaribishe kwa kumkumbatia
anapotoka kwenye mihangaiko yake.
Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.
12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa
vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka
wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.
13. Mpigie simu na umwambie kwamba
unampenda na umemkumbuka 14. Muamshe asubuhi na umpe romance
kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe
na hata jishughulisha na wanawake
wengine siku hiyo.
15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa
hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.
16. Mwambie ni kiasi gani una bahati
kuwa nae kama mume wako.
17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.
18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu
wako katika maisha yako. 19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi
mikononi mwa Mungu.
20. Tengenezeni utaratibu wa familia
nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja
kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya
kweli leo na daima.
Na wasio serious na mahusiano
wanaokupotezea muda wako wajikatae
kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya
kutimiza kusudi la Mungu kwako. Kwanini tusiseme "Amen"!
@maisha_halisitz
Kama kuna mambo yanakuchanganya kwenye mahusiano yako karibu lipia tu huduma zangu za ushauri
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: