JINSI YA KUMTULIZA HASIRA MUMEO AKIKASIRIKA ☞
Kama umemkasirisha mumeo mfano asubuhi jitahidi uwe mpole usiwe muongeaji Sana kama ameenda kazini hakikisha saa nne unatumia sms msalimie Kisha mtakie kazi njema..... 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 ☞ alafu mida ya saa saba ivi mwambie pole na kazi laazizi wangu, nimemiss sana uwepo wako, nipo mpweke tu apa, natamani ungekuwa karibu yangu Muda huu, kwa sms hii itamfanya hasira zipungue ata tamani muda ufike arudi nyumbani mapema...... 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 ☞ Siku hiyo mpikie chakula akipendacho, Pamba nyumba ivutie, fukiza udi chumbani, Oga, vaa nguo nzuri, jipambe upendeze, Siku hiyo tafuta na Kungu manga itafute uile mapema..... 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 ☞ Kisha akirudi mumeo mvue viatu au mpokee alichobeba huku wamuambia karibu mume wangu...... 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 ☞ Akikaa msalimie Kisha mwambie pole na uchovu wa kazi laazizi wangu. Kwa mapokezi hayo hasira zitayayuka mlangoni alipokuona, maana atajisikia furaha kwa mapokezi aliyoyakuta kwako...... 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 ☞ Akitulia mpelekee maji ya kuoga Kisha mwambie twende nikakuogeshe mume wangu..... 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 Mtengee chakula vizuri ulichomuandalia, kisha mnawishe mikono, akimaliza mlishe tonge mbili tatu Kisha wamuacha aendelee kula mwenyewe taratibu..... 💜💜💜
☞ Akimaliza mnaweza kuhamia chumbani huko jiachie ili uweze kumtega vizuri, Mkipanda kitandani tu mkafanya mambo yetu Yaleeeee hapo utakuwa umezimaliza kabisa hasira zake..... 💜💜
☞ Cheza na akili za mumeo, changamka mwanamke usikubali siku ipite mumeo akiwa na hasira. Mfanyie mambo mazuri hata mkipanda kitandani hasira ziwe zimemuisha..... 💜💜💜
☞ Wanaume wengi sio watu wa kuwekea vitu moyoni nyie tu hamjui jinsi ya kuwashusha hasira..... 💜💜💜
☞ Kuazia leo usipate tabu ya kuwaza tumia uanamke wako kumfurahisha mumeo..... MWANAMKE NI LAZIMA UWEZE KUKIHUDUMIA CHUMBA CHAKO LA SIVYO NDOA UITAYUMBA!
Unafanya kazi, uko bize kweli kazini, unaamka saa kumi unarudi saa sita usiku. Lakini kama mwanamke uko kwenye ndoa ni lazima kuweza kuhudumia chumba chako, mautundu mamaa, mwanamke usisubiri mmeo tu ndio atake mchezo no mwanamke omba mchezo jibebishe
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: