👉Fahamu.. MWANAMKE NI MVUMILIVU SANA, ILA MOYO WAKE UKITOKEA KUKUCHUKIA KAMWE USITEGEMEE KAMA ATALUDI NYUMA HUO NDO MWISHO WA UVUMILIVU WAO.

Mwanamke akikupenda lazima atakuvumilia kwa kila jambo. Yaani hata kwa mambo yako yasiyo faa, Yanayo mkera, yanayo mtesa na kumuumiza ki hisia.
Kutokana na Ufinyu wa akili yako unaweza kumtesa na kumfanyia mwanamke kila aina ya kituko kila kukicha ukadhani hawezi kukuacha na hata akikuacha lazima akuludia baada ya siku kadhaa. Yaani hawezi kuishi bila wewe.
Gentlemens, Niwaambie tu kuwa Uvumilivu Una kikomo chake.
Na usiombee mwanamke wako afikie kikomo chake cha kukuvumilia.
Utajuta kwakuwa Mwanamke akifanikiwa ku-Move on huwa hawezi kuludi tena nyuma. Akisha kutoa moyoni, hawezi tena kukulidisha.
Taabu itabaki kwako maana utahangaika kumludisha tena kwenye himaya yako.
Kama unampenda acha kumfanyia vituko, achakutesa kihisia, Acha kumnyanyasa, achakumwinyesha vicheche vyako na pia acha kufanya tabia ambazo zimamkera mke wako au mchumba wako.
Jifunze kumpenda na kumthamini kabla hajaondoka katika mahusiano yako. Utakuja kupoteza ukaruka majivu na kukanyaga Moto
Huku ukitambua kuwa maumivu ya mapenzi yanauma Saana.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.