√√Unachofanya leo kwa mwenza wako √√Ndicho kitachoendelea kutengeneza tafsiri yako √√Katika fikra zake kesho


==anaweza kuwa anakupenda na kujitolea sana kwako
==anaweza kuwa ameapa kwamba hata iweje hawezi kukuacha ama kukuumiza
^^~ILA USISAHAU
Yote husemwa kutokana na ULEVI WA MAPENZI
alio nao juu yako unaotokana na upya wapenzi lenu, ama uzuri wa matendo yako kwake
Ili kila Siku ajihisi kukufanyia tofauti nijukumu lako kuijaza picha yako katika akili yake, kupitia vitendo na maneno yako
1--matendo yako ya hovyo yanafanya akili yake iwe na picha za hovyo juu yako, athari yake ni kwamba abadani hawezi kuhisi hatia pale akipata ushawishi wakukusaliti kwakuwa atakuwa na excuse kuwa MTU mwenyewe hueleweki.
Hali ya hisia ya mwenzako inabadilika kutokana na matendo yako
JIFUNZE
Waliopendana miaka ile na kuachana Leo
Sio kwamba walidanganyana walipokuwa wakiambizana wanapendana na watu wakashuhudia upendo huo wa agape.
ILA
nivile tuu Leo imefika hatima ya upendo wao kutokana na JINSI WALIVYO KUWA WAKITENDEANA MATENDO YASIYORIDHISHA MIOYO YAO.
MUHIMU
fikra za mwenza wako nikama maji ya kunywa,kadri zinavyo zidi kuwa safi ndio Afya ya penzi lenu inazidi kuimalika, kinyume na hapo Afya ya penzi huzorota na kifuatacho ni penzi kuyeyuka na kubaki story.
DAIMA CHUNGA KAULI NA MATENDO YAKO.

Image may contain: 2 people, people standing


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.