UHONDO: JINSI YA KUMFIKISHA MWANAMKE “KILELENI”
Asilimia Kubwa ya Wanawake huwa wana tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya Kufika huko hawaijui.
Utasikia wanajifanya kwa kutoa Sauti za kimahaba kama “ba-by am CU*mming” basi wanaume mabichwa yanakuwa makubwaa ndio anajiona bonge la dume la Ngo’mbe.
Hii inapelekewa kutojua wamefanikiwa kuwaridhisha wapenzi wao au wanadanganywa.
Dalili hizi ndio Kinga ya Kujua kama Mwanamke kafika kileleni:
Misuli ya Uk-e wake Inakaza na kuachia; Mwanamke akiwa anafika kileleni kutokana na raha atakayoisikia hatoweza kujizuia, Ninavyosema Misuli kukaza naamaanisha atajikuta kadiri anavyokaribia kileleni na Spidi ya Kukaza inaongezeka maana Uu-me unapokuwa Uk-eni ‘Automatically’ Mwanaume atahisi ‘Machine‘ yake kubanwa na kuachiwa.
Kelele na Miguno ya Kimahaba lazima Huzidi; Kama Mwanamke wako ni ‘full’ makelele mpaka mwisho basi ni ishara ya kuwa umemfiki-sha kileleni, Hapa lakini ndo wanaume wengi huwa wanaibiwa sasa kupunguza Janja Janja inabidi utambue kama hiyo miguno na makelele ni imewekwa kwenye mipangilio ujue unaibiwa.
Lugha ya Mwili; Atakuwa anahema haraka haraka kwa sababu viu-ngo vya ndani na Misuli yake itakuwa inahitaji Oksijeni zaidi ili aweze kufika kilele-ni salama na Hali ikiwa nzuri yaani ‘full maraha’ atazidi kujikunjakunja na kujibinua ujue bado anahitaji, hapo ndo Mwanaume wa shoka unabidi uongeze bidii ili afike huko kwenye kilele cha utamu.
Uk-e Utazidi Kutoa Maji; Hii ni bila kificho jamani kwani utapofanikiwa kumfikisha kileleni ni kawaida kwa mwanamke akiwa kwenye kitanda cha sita kwa sita anakuwa analowa uk-eni na hiyo ndio dalili nzuri kwa mwanamke kuwa amefika kileleni, Wanaume wengi huwa wanafeli kumfanya mwanamke awe na maji uk-eni ili kumpa ra-ha zaidi kwenye ulimwengu wa raha.
Kuna dalili nyingi ambazo zinaonyesha kuwa mwanamke bado hajafika kileleni.
Kwanza ni muhimu kukumbuka kuwa kufikia kileleni kwa mwanamke sio jambo la mwili peke yake bali ni pamoja na hisia za nafsi yake, vitu hivi viwili huenda sambamba hivyo uonapo kuwa mwanamke haoneshi uchangamfu juu ya kipindi mnafanya map-enzi au anajaribu kukuharakisha basi ujue kuwa upo uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo hatafika kileleni bali atajifanya tu.
Jambo la pili la kuangalia ni mwanamke ambaye anadai kufika kileleni baada ya muda mfupi, umekuwa umejiandaa kufanya mapenzi kwa muda mrefu mara tu kama radi unasikia mwanamke anasema au kukuonesha kuwa amefika kileleni hapo fahamu kuwa upo uwezekano mkubwa kuwa umedanganywa.
Vitu mbalimbali huonekana pale mwanamke afikapo kile-leni kwa mfano wanawake wengine huwa wakimya sana na mawazo yao na nafsi zao huwa zimezama katika wimbi la raha wanayoipata, wanawake wengine hupiga kelele na kumshika mwan-aume kwa nguvu sana na kumbana au kutoa milio fulani, chuchu za matiti husimama,rangi ya ngozi hubadilika na kutokwa na jasho jingi.
Usipo yaona baadhi ya mambo haya, hasa kusimama kwa chuchu za titi basi kuna uwezekano mkubwa mwanamke huyo hajafika kileleni.
💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞 _J💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: