MWANAMKE ACHA KUWAAMBIA WATU UNAPENDWA WAKATI NDO KWANZA NDO UMEANZA JUZIJUZI TU NA HUYO MWANAUME.
Dear girl usituambie unapendwa katika hatua za mwanzo!!zile care, kujaliwa, kupigiwa simu sana...kuchatishwa sanaa..baby baby nyingi!!vizawadi ni mbwembwe tu!!hatua za mwanzo wengi wanaigiza tu!!...yaani kwenye haka kakipindi utaigiziwa mpka utajiona queen !!utahisi unapendwa kuliko yoyote dunianian!!utajihisi ulichelewa sana kumpata..!!ukizama mazima kwenye penzi katika hatua za mwanzo umepotea ndugu yangu!!jihakikishie kupendwa baada ya muda kupita baada ya kupitia ups an downs za kutosha!!the way atavyosimama na ww na kukushikilia usipotee!!atavyopita na ww katika changamoto ngumu za kimaisha!!sio mapenzi yana mwenzi mmoja na nusu ushaanza kujiona unapendwaa!!!!ndugu yangu weee!!mwanaume anapotafuta sex kwa mwanamke yupo radhi kuwa mnyonge kama mtumwa ilimrad uingie kwenye 18!!atakuigizia movie yenye uhalisia kama sarafina!!atakupa mashairi matamu kama sultan!!atalifanya penzi liwe na simulizi tamu kama movies ya TITANIC!utajiona unapendwa!!KUMBE MWENZIO YUKO LOCATION anatoa movie mpya...that is men...#kibonde
Counsellor Kibonde
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: