*MAPENZI NDIYO HUIBEBA MAANA YA MAHUSIANO PAMOJA NA NDOA!

 Image result for mapenzi wakubwa
Haina maana kuanzia furaha halafu ukamalizia kilio, Nijuavyo mie ni heri kuanza na taabu ukamaliza na mema, Bin adam anayo mambo makuu mawili kama si matatu nayo ni;*.
*1. AMANI*
*2. FURAHA*
*3. UHURU*
*Yakikosekana hayo mara nyingi watu huishia kujuta na kukata tamaa, Huwezi kusema Uko kwenye Mahusiano ama ndoa na huna mambo hayo matatu lakini kwa uvumilivu wako bado unateseka wala usijue namna ya kuondoka, Kuna msemo wazungu husema na hapa nawanukuu "FOLLOW YOUR HEART BUT TAKE YOUR BRAIN WITH YOU" Yaani huwezi kuutaja UPENDO na huna akili, Kichaa hawezi kuongelea Mapenzi maana MAPENZI NI AKILI hivyo yakupasa kwenenda nayo yote ili kuuweka uwiano katika KUPAMBANUA MEMA NA MABAYA... Usitumie dhamana ya watoto kuendelea katika NDOA ambayo huwezi kuiona FURAHA, AMANI, UHURU wala usitegemee muujiza wa aina yoyote uje ukukomboe zaidi ya wewe mwenyewe KUCHUKUWA HATUA.*
💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.