KAMA WEWE NI BINTI MREMBO NA UNA NDOTO YA KUOLEWA SIKU MOJA NJOO HAPA NIKWAMBIE KITU

BINTI MREMBO kila mtu ana jua uzuri wako wa sura mavaz na hata rangi na mavazi yako..una ndoto sku nawe uwe ktk NDOA uitwe MKE ..
Ila.bahati mbaya umesahau au hujui mambo gan yatayo kufanya uweze mshawishi mwanaume awe na mawazo ya kuku oa...
upo vizur ktk kubadilisha mavazi ya gharama
simu kila mara kubadilisha
nywele kila wik kubadilisha
wafanya.hayo kwa hela ya kupewa na BOY wako au waitafuta kwa jasho ....wenzako wana jiwekeza ktk miradi midogo midogo ww wawaza kupendeza kutumia pesa badala ya kuzalisha.....
UZURI ungekuwa ndo kugezo cha KUOLEWA basi wengine wange tafut dunia ya kwao
PESA ingekuwa ndo sharti la kupata mke basi maskin tunge acha kuwaza kuoa..
*****-*********-*************
MWENYE pesa haoni shida.kutumia pesa yake kukupata wewe kisha kuanza kuku sumbua baada ya kuku tumia...hana mda wa kushauriana na.ww kuhusu kesho yenu wakat amesha jua kuwa tamaa yako ni pesa zake..Unawaza ata KUOA lini wakat yeye ana fikiria namna ya kuku acha atafute mwingine maana haupo ktk hesabu zake..
*****************************
nakuonea huruma wewe ambae una jitangazia kwa watu kuwa BOY WAKO ata kuo sio mda kisa ana magar na nyumba
wakat kuna wazuri zaidi yako ambao wamepita kwake hata posa za UNAFIK walitolewa lakin wame achwa*****************
MTOTO WA KIKE wenzako wame jiwekeza ktk elimu kwa mrefu leo wana kaz au biashara kwa sasa wanaomba MUNGU apate BOY mkweli na mwenye mapenz ya dhat wewe una omba upate BOY Mwenye hela na atakae kuwa.tayari kuku hudumia vyote.
*********6****
..KABLA KUFIKIRIA NDOA JIULIZE
kwa nini unataka olewa ?
ni kweli umedhamiria kuolewa ?
una hitaji mwanaume mwenye sifa gani ?
mahitaji yako yata zingatia UMRI WAKE ELIMU YAKE AU KIPATO CHAKE ??
**********************
uzuri wako.ukiutumia kujipatia pesa nazawad bas utazeeka na kuishia kuhudhuria HARUSI na SEND OFF za wenzako
*************-*******-*
Mwanaume mwelewa hababaiki na UZURI wa sura pale anapo taka mke wa KUOA....Endelea jipitisha na wanyoa viduku....zunguka kila kumbi za starehe tupia picha mukiwa pamoja...mwisho wa siku wimbo wa MOYO SUKUMA DAMU.uta.kuhusu wakat ulio waona hawakufikiii kwa uzuri
wataimbiwa
ANA MEREMETA
NIMEKUCHAGUA WEWE
DAIMA NA MILELE
ukijitunza UPENDO wa dhati utapata hata kama umri ume enda..
******-**-**********
Uki jiachia wapenda ngono.wata kuchakaza hasa waume za watu...uta jiona mjanja hupat mimba ila mwili.una zeeeeeeeka


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.