*_๐Ÿ’•HIVI UMESHAWAHI KUJIULIZA SUALI HILI๐Ÿ’ž❓❓_*.

Sanchiworld - Home | Facebook
*Ni kwa nini ladha na mvuto wa mwanamke wa kiafrika umepungua sana na sio kama zamani?* ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ Unalala na mwanamke kitanda kimoja lakini moyo wako wala haushituki.Ni kama vile umelala na msela wako ghetto* Wanawake wa sasa hivi wamepoteza mvuto kabisa ni afadhali hata ya picha za kuchora.
๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Sababu ni nyingi sana lakini sababu mojawapo ni kuwa wanawake wa sasa walio wengi wanaendekeza usasa na kusahau asili ya urembo wa mwanamke wa kiafrika.Zamani ilikua ni mwiko kwa mwanamke wa kiafrika kukosa angalau mikanda miwili au mitatu ya shanga kiunoni.
๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Lakini wanawake wa sasa hivi hawajui lolote kuhusiana utamaduni na umuhimu wa kua na shanga kiunoni na kujua faida zake.Na wengi wao wanaona ni jambo lililopitwa na wakati na ni ushamba.Na ndio maana wengi wao wamepoteza mvuto na wamekua kama visanamu vya kuchonga ambavyo havina stimu yeyote.Wamebaki na kung’ang’ana na mikufu na cheni ambao ni utamaduni wa kimagharibi na kusahau utamaduni wao wa asili ambao ni shanga(chachandu). ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Na dhambi hii wanayoitenda itaendelea kuwatafuna na matokeo yake ndio chanzo cha kuharibika kwa mahusiano mengi na kuvunjika kwa ndoa nyingi sana.Lakini kwa sababu ndio wanawake wetu na ndio mtihani tuliopewa na Mungu hakuna jinsi.Ngoja niwamegee kidogo unyago huu pengine wanaweza kubadilika. ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongeza mvuto sio tu kwa wanaume ila hata kwa wanawake pia.Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga haijalishi kama ni barabarani au ndani ya daladala lazima *hogo* zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda (kama wewe ni mwanaume rijali lakini)
๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Shanga zinaongeza hisia na mashamsham kwa mwanaume.Ni raha ilioje kupeana raha na utamu na mwanamke alievaa shanga.Mwanamke alievaa shanga anavutia zaidi kupapasa shanga zake wakati wa tendo la ndoa.Utafiti unaonesha kua mwanamke anaweza kufika kileleni kwa kumchezea tu shanga zake za kiunoni ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Shanga zinaongeza msisimko katika suala zima la mapenzi hususan ukipata mwanaume anaejua kuzitumia.Lakini wanaume wa sasa wengi wao hawana utaalamu wowote wa kucheza na shanga kwa sababu wengi wa wapenzi/wake zao hawavai.
๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Rangi za shanga pia zina maana yake.Kwa mfano mwanamke akivaa shanga za rangi nyekundu maana yake ni kua mazingira hayaruhusu.Rangi nyeupe maana yake mazingira ni mazuri unaweza kuendelea na mambo mengine.Na rangi nyeusi maana yake mazingira ni mazuri ila uwanja haujafyekwa.Kwahiyo shanga peke yake ilikua lugha tosha ya kuwasiliana kati ya mwanamke na mwanaume.
๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ
Mwanamke wa kiafrika anapendeza na kua na mvuto zaidi akijipamba na mapambo ya asili ya kiafrika. Kwahiyo wito wangu kwenu naomba tubadilike na tusidharau asili ya urembo wa mwanamke wa kiafrika ili tuweze kuimarisha mahusiano yetu.Kwa sababu mkataa asili ni mtumwa.
*_MSIOPENDA SHANGA POLENI๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ_* *........* *_๐Ÿ–ค๐Ÿ’œ @alh@๐Ÿ–ค๐Ÿ’œ_*


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.